Nilichokiona kwa huyu Bint Mdogo Mrembo kimenishangaza sana katika Ulimwengu huu wa Sasa

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Leo nimeshtushwa sana baada ya kumkuta binti mmoja mrembo amevaa kwa heshima ametulia sehemu anasoma kitabu cha Danielle Steel. Ni zaidi ya miaka 15 sikuwahi ona mtu wa age yake akiwa amekaa anasoma kitabu wakati akisubiria huduma sehemu.

nilifika ofisi moja Mjini kuonana na Jamaa yangu. nikiwa nasubiria huyo mhusika amalizane na mgeni aliye naye ndani katika kutembeza macho sehemu kuangalia tuliopo mapokezi nikiwa nimekaa. mbele yangu nlimwona binti huyu mzuri akiwa ameshika kitabu cha Danielle Steel. kilichonishangaza zaid ni utulivu na nidhamu ya hali ya juu aliyokuwa nayo.niliinuka na kumfuata.taratibu akainua macho yake na kunitizama.akaniamkia kwa heshima.niliitikia na moja kwa moja nikapeleka mkono wangu kukishika kitabu chake pasipo kumwambia neno.

hakufanya hiyana kwa kujiamini kabisa akanichia nichukue kile kitabu.,nikakisoma "Danielle Steel" kwa sauti.
"siamini kama leo hii namwona binti katika umri wako anasoma kitabu kama hiki" nlitamka nikiwa katikati ya mshangao na furaha. alitasabamu kwa aibu akiziba mdomo yake... (moyoni nikawaza "this girl is pretty and smart") niliongea naye sana yule binti nikafahamu ameshasoma vitabu 8 vya Danielle Steele na Pia Sidney Sheldon.

Katika tu maongezi nligundua the girl is bright and confident. Mungu kampendelea kumpa uzuri,akili na heshima.nlitamani yule mdogo wangu brother man asingekuwa heart breaker aje aoe msichana huyu.

Nmeshangazwa kizazi cha Dot Com kusoma novel kubwa kubwa kama za akina Danielle Steel ,Sidney Sheldon n.k alichonichosha zaidi aliponambia kuwa hicho kitabu amenunua tsh 19,000 kwa pesa yake mwenyewe.kama ambavyo alinunua na vingine 4 alivyo navyo.

Haraka akili yangu ikahama nikaanza kufikiria wakati kuna wanawake wanajinadi wanavyojua kukata kiuno na styles mbalimbali za sex.kuna wanawake smart wapo wanaishi nao duania hii hii? Kweli the world isnt fair
 
Hii habari nzuri, lkn naona kama umeikatisha. Ulichukua namba yake ya simu?

nimefurahi pia kuwa umesoma vitabu hivyo. of course watu wanaosoma hivyo vitabu ni nadra sana kuwakuta kwenye page za watu za udaku na ku follow watu wapuuzi puuzi. hivyo vyote nimesoma. soma pia the other side of the midnight. napenda wasichana wanaosoma novel na kuangalia movies au series za akili achana na hizi za kipuuzi puuzi.

Basi na mi niko smart maana nimesoma vitabu viwili vya Sidney Sheldon (tell me your dream, kingine kama sikosei kinaitwa the naked face)...
 
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom