Nilichokiona katika mitandao ya kijamii

Facebook ni ya vilaza kwa asilimia. Kubwa

Instagram ni ya....... Wambea....... Kwa asilimia kubwa

Jamiiforum.... Ni.... Kwa wasomi asilimia kubwa.......

Facebook pia imejaza washamba na watoto kibao, jamii forums ina watu waelewa lakini ina watu wanalipwa kuharibu mada za msingi haswa zile zinazoikosoa serekali.
 
Wewe mwenyewe upo huko kote, kwahiyo ww ni kilaza, ww ni mmbea, ww ni msomi kilaza tena mmbea!!!!!
 
Facebook pia imejaza washamba na watoto kibao, jamii forums ina watu waelewa lakini ina watu wanalipwa kuharibu mada za msingi haswa zile zinazoikosoa serekali.
Mkuu tutende haki ...swala la watu kulipwa kwa kazi ya siasa ni vyama vyote vikubwa. CCM wapo na Chadema pia. Ila huu ujanja ujanja ulioasisiwa na wanamtandao ikianzia kwenye magazeti itakufa maana ukweli utasisima dhidi ya propaganda.
 
jamiiforums naona inataka kufanana fanana na Facebook siku hizi
Kuna baadhi ya majukwaa yanawatu wanatabia kama za watu wa facebook.
Instagram ndio hamna kitu kabisaaaa kule ni umbea na wauza sura kibao binafsi nili delete account yangu.
 
Facebook ni ya vilaza kwa asilimia kubwa.

Instagram ni ya wambea kwa asilimia kubwa.

JamiiForums ni kwa wasomi asilimia kubwa..
Acha unafiki wewe kwanza tambua tofauti kati ya social network na forum facebook ni mtandao wa kijamii mkubwa duniani JF yenyewe ipo facebook na FB kuna kila kitu inategemea unaingia kufanya nini watu wanapiga hela, wanajifunza we unaponda!
 
nadhani jamaa alikua amelenga kutofautisha watu wanavyo comment kwenye topics za kijamii kwenye Facebook na watakavyo comment kwenye topic ileile jamiiforums ni tofauti
 
Taarifa njema ni kwamba Jamiiforums wana account Facebook ila Facebook hawana account Jamiiforums?
 
Back
Top Bottom