Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

Mkuu kuchepuka sio udhaifu, ni uamuzi.

Lack of self control decline of moral values. Sikuhukumu ila wanadamu tumekuwa wakengeufu sana kila kitu tunachukulia poa. Siku hizi kama huchepuki unaonekana wa ajabu na mshamba. Kuna uzi mwingine huko jamaa anajisifia kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu for 15 years. Anyways, ndo namna tulivyochagua kuishi kama vile hakuna Mungu. Tunafanya tunachojisikia, tunaharibu familia kwa kujenga misingi na mifano mibaya kwenye jamii yetu.
Uzi gani huo
 
Nami nimeona uzi huo hakika nimebaki kusikitika, maamrisho ya aliyetuumba yanageuzwa kabisa. Usizini imekua kama ndio watu wamefunguliwa. Maofisini ukikaa ukisikiza mazungumzo ya vijana na ya wazee wetu unabaki unatoa macho. Mtu anakuambia kwenye uzinifu anamsafishie mke rungu akimpelekea inakua safi. Hakika mola wetu atusamehe
Na tumwombe atuongoze
Uko wapi mkuu huo uzi
 
kumbuka una watoto wanakutegemea......mchepuko haumilikiwi bro.......not reserved parking....just park at your own risk.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom