Nilichokibaini katika utafiti wangu kuhusu kupiga miayo

Fernando sucre

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
293
344
Wakuu nimefanya utafiti nimegundua kupiga miayo kunaambukiza, jaribu hata wewe. Unaweza kuanza wewe kupiga muayo mwenzako naye palepale akapiga,au viceversa.wataalam wa afya tupeni hints kidogo.
 
Back
Top Bottom