Mleta mada suala la uchawi ni akadabla, kwa kifupi huo ni mradi wa hao wanakijiji kwa kushirikiana na hyo mganga usipofuata wanavyokwambia(ukipuuza huduma za hyo mganga) watahujumu shamba lako kwa kulimwagia sumu ya kukausha mazao yote ili mwisho wa siku huamini kuwa ukipuuza kuroga basi mazao yako yatakauka......nina experience na hya mambo yalinikuta nikiwa mbwewe kijiji cha changalikwa