Nilichogundua??

kapesly

Senior Member
Jan 1, 2017
163
108
Kuwa Mimi ndio wa kwanza kusoma thread hii???

Sorry mwenzangu mmegundua nn Tafadhali?
S H A R E. P L E A S E
 
Nimegundua kuwa wote mliocoment muda huu hamjaoa. Otherwise mngekuwa busy na vitanda vyenu!
 
Nimegundua kunguni wanakuuma ndo maana hulali
Nimegundua wewe ni muuza dawa za kunguni,utitili,viloboto chawa MmBA vibalango sasa unatafuta masoko indirect be spesific watu hatuna kunguni, maana hizo kunguni zenyewe zinaogopa huku kwetu kibiti kuishi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom