Nimegundua nafasi yako wajanja wamekuwaiNimegundua shule hazijafunguliwa bado, upo likizo unasumbua
nimegundua na wewe uko singoNimegundua kuwa wote mliocoment muda huu hamjaoa. Otherwise mngekuwa busy na vitanda vyenu!
Nimegundua unapenda ualimu tatizo vyfet fyeki
Nimegundua unakihelehele umekuwa wa pili kusoma
nimegundua unapenda kufatilia kuona kila post kama jose yupo pale juu...HongeraNimegundua nafasi yako wajanja wamekuwai
Nimegundua wewe ni muuza dawa za kunguni,utitili,viloboto chawa MmBA vibalango sasa unatafuta masoko indirect be spesific watu hatuna kunguni, maana hizo kunguni zenyewe zinaogopa huku kwetu kibiti kuishiNimegundua kunguni wanakuuma ndo maana hulali
nimegundua kabisa sijui hao watu wana lengo gani na mimiNimegundua unapendwa kufuatiliwa kama North korea