Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Sasa wewe ni sex worker? Kila anayeomba anakubaliwa kwa sharti dogo la kutumia condom!!!!!!
 
samahani dada angu hivi mpaka sasa unajaza osaka ngapi abiria wako
 
Unafanya kazi gani???... Bila Shaka huna kazi ya kufanya....
Hao wanaume wote wa nini??....
Bila Shaka kwa ajili ya pesa.....
Kwanini usafiri umbali mrefu sababu ya mwanaume hapo unapoishi hakuna wanaume???..
Bila Shaka kwa ajili ya pesa na tamaa za maisha mazuri...
Umejuaje wanaume wengi wa jf hawapendi unprotected sex???
Ina maana umetok nao wengi sana......na sababu ni pesa tu
.................
Kama tatizo sio pesa kwanini uhangaike na wanaume wa jf tena wengi.....................
........nikikwambia unajiuza utakataaa???....
.....hebu acha tamaa za maisha mazur ya shortcut.....tafta kazi ufanye usitumie mwili wako kama bidhaa au utaendelea kutumika na kutupwa huku ukileta ushuhuda public na watu wanakuchora tu huku wengine wakikununua....mpaka unazeeka............
 
Tofauti ya huyu dada na hao akina dada wengine humu jf ni kuwa;
Yeye kathubutu kusema hadharani kuhusu wanaume aliotembea nao JF, ila naamini kuna wanawake humu ni balaa kuliko huyu learner kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah thread hii sikuionaga ilipotolewa jikoni.

Ningelikutana na wewe ningelikufurahisha.

Mwanaume unakimbia mwanamke kwa uoga wa kupima 'ngoma'!

Ama hii ni hadithi?

Yaani nilale mzungu wa4 nikiwa na mwanamke 'mpya' eti kisa kupima!
Tungelipimia kwenye gari hata kabla hatujajisunda 'gesti' kukukunja.

Tena huyo jamaa uliye mridhia kukaa naye wiki kwa sharti la kupima kisha 'akalaza' ninadhani hayuko sawa kisaikolojia ama ni mwathirika halisi wa vvu.

Hakuna mwanaume asiyependa nyama kwa nyama, hata ajifanye kuhamasisha uvaaji condom, elewa kuwa huyo ni adui anayetangaza amani huku kaficha panga, ni muongo!

Me mwenyewe nikivaa ndom 'haisomi' na ndiyo maana nimevijaza tele vipimo vya ukumwi, vitendanishi pamoja na sindano zake za kutogea vidole chini ya siti ya gari.

Nikikumbana na mitihani simple kama hiyo, moja kwa moja ninaibuka kidedea, maana yake ninapass kwa alama za juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Mh kweli ww ni cutelove .? Taratibu bado Damu ni mbichi
 
Back
Top Bottom