Nilichogundua ni kuwa wanawake wengi karibia 90% wanapenda kutazama filamu za ngono. je, wajua ni kwa nini?

Heheheeee....Sasa kama nyie wanaume nguvu zenyewe kwishney...
Mnahangaika na karanga na mihogo mibichi bado mnachemka ulitegemea wajukuu zangu wa kike wafanye nini...Hamuwaridhishiiii
Nyinyi ndio tatizo mjukuu wangu..!!
Tafakari chukua hatua..!!
 
Imewezekana na hii ni kwa wafanya ibada na wasoma maandiko matakatifu tu
Ni qel mi nilipewa simu na mdada mmoja nione video yake alipokua Church but video ilipofika mwishoo nilichokiona Duh sikuamini aiseeee porn kama zote nililudisha simu Chapu
 
Kwanza niwatakie pasaka njema wakristo wote wa jf na duniani kote.


Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikijaribu kufuatilia hili swala la wanawake wengi kupenda kutazama porn videos.


Uchunguzi wangu ulianzia Facebook ambapo watu hutoa nafasi za kuungwa kwenye magroup za hizo video chafu,Maana niligundua asilimia 90 ya walioweka namba ni jinsia kike.



Pia niaamua kuzama kwenye websites mbalimbali za xxx videos nikacheki takwimu zao zinaonesha visitors wengi ni wanawake..

Haukukamilisha utafiti wako, asilimia kubwa ya hao wenye kutoa namba ili uunganishwe kwenye magroup ya WhatsApp ni wanaume ila wamesajili namba kwa majina ya wanawake na wengine wamesajili kwa majina yao ya kiume.

Pia ni ukweli wanaoangalia porn wengi ni wanawake according to pornhub. Na Wanawake wengi wa Sub saharan wanaangalia blacks.
 
Waache watazame tu,ata wakipenda kuweka makoleo,shoka, majembe waweke tu;cha muhimu wasiingilie uhuru wa mwingine.
 
Na huwa wanapenda kuangalia wakiwa peke yao, katu mwanamke hawezi kukubali mkaangalia pamoja na hata ukiweka ukiwa naye hata chukua muda atakwambia badilisha!
 
Heheheeee....Sasa kama nyie wanaume nguvu zenyewe kwishney...
Mnahangaika na karanga na mihogo mibichi bado mnachemka ulitegemea wajukuu zangu wa kike wafanye nini...Hamuwaridhishiiii
Nyinyi ndio tatizo mjukuu wangu..!!
Tafakari chukua hatua..!!
Shkamoo bibi
 
Back
Top Bottom