Nilichogundua kwa wadada wa sikuhizi ni hiki

Mkweli77

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,458
1,119
Ukimuhuliza sasa hivi msichana angependa aolewe na mwanaume wa aina gani yaani ambae amejikamilisha kila kitu au ambae mtaanza wote from zero wote watakuambia wanataka wa kuanza nae maisha ila rohoni jibu sio hilo wanataman huyo alojikamilisha ajitokeze mda wowote ule

MAISHA BILA UNAFIKI HAYAWEZEKANI
 
Huo ugunduzi wako wa sentensi moja unatia mashaka.. ila naomba nikusifi kwa kutoa point yenye msingi kwa wastani, ewe mjumbe wa mashariki...
 
Kuanza wote zero siyo vibaya me from my heart nataka wa kuanza naye zero ila akili yake iwe inawaza vizuri maisha na maendeleo na upendo vinginevyo itakuwa ngumu. Naamini mali inatafutwa kama kuna kitu kinachotakiwa kuombwa kwa Mungu katika maisha ni Amani na upendo hivyo huleta utajiri fasta.
 
Back
Top Bottom