Nilichogundua humu JF

KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,237
Points
2,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,237 2,000
Nilikuwa napitia thread zako naona kyande tu aiseee
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,870
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,870 2,000
We upo kundi gani kati ya makundi uliyoyaandika
Naomba nisianze na salamu yoyote...

Nilichogundua JF kuna kila aina ya watu, watu wa aina mbali mbali unawapata humu. Naomba niwajadili kidogo sifa chache za hawa watu:

1. Wapenda misifa.
Yani hawa mtu anaweza kutoa uzi wenye maana fulani au kuelimisha, yeye anachangia maneno ya kichekesha tu au kukebehi tu alichozungumza mtoa mada, si vizuri maana mtoa mada huwa tunakwazika sana.

2. Waropokaji.
Hawa huwa wanaropoka tu, sijui ni huwa wanatype kwa vidole au kwa makalio...!? Yaani hawa mtu anaweza ata akauliza kitu cha maana katika mada yake, yeye anaropoka jibu tofauti au jibu fulani la kumdhihaki mtoa mada, huu ni ujinga tu acheni.

3. Wapenda likes.
Kuna watu humu nia yao ni kupata likes tu. Yaani wao wanasubiri mtu akitoa mada wao waje kucomment kituko tu wapate likes, sijajua sasa likes sijui ndo zinawapa cheo. Sio mbaya lakini maana zinatufurahisha na kutuongezea siku.

4. Watu wakuvunja wenzao moyo.
Hawa unakuta mtu katoa wazo lake kuhusu biashara fulani au changamoto anazozipata katika biashara yake, hawa hutoka huko na kuja kucomment vitu vya kukatisha tamaa kabisa, sio poa.

5. Waongo kupindukia.
Humu ndani kuna watu waongo sana na kuigiza maisha, juzi kati kuna jamaa anajitamba kabisa katika uzi fulani kuwa yeye ni mtu mwenye cheo fulani katika taasisi fulani na kuanza kuongea vitu ambavo alifikiri anavijua yeye pekee kutokana position aliyojitamba kumbe vitu hivyo kuna watu tunafatilia pia, si vibaya maana watu hawa wameumbwa hivi.

Mwisho, niseme kosoeni muandiko mbaya, matusi n.k
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
3,830
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
3,830 2,000
Umesahau kimoja wapo!

Jf ina wenyewe.

Anaweza akaanzisha Uzi member asiyejulikana akapotezewa. Uzi uleule akaanzisha member anayejulikana ukachangiwa kwa shangwe.
:D:D:D:D
 

Forum statistics

Threads 1,335,182
Members 512,245
Posts 32,498,303
Top