Nilichogundua humu JF

Executor

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Messages
455
Points
500
Executor

Executor

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2014
455 500
Naomba nisianze na salamu yoyote...

Nilichogundua JF kuna kila aina ya watu, watu wa aina mbali mbali unawapata humu. Naomba niwajadili kidogo sifa chache za hawa watu:

1. Wapenda misifa.
Yani hawa mtu anaweza kutoa uzi wenye maana fulani au kuelimisha, yeye anachangia maneno ya kichekesha tu au kukebehi tu alichozungumza mtoa mada, si vizuri maana mtoa mada huwa tunakwazika sana.

2. Waropokaji.
Hawa huwa wanaropoka tu, sijui ni huwa wanatype kwa vidole au kwa makalio...!? Yaani hawa mtu anaweza ata akauliza kitu cha maana katika mada yake, yeye anaropoka jibu tofauti au jibu fulani la kumdhihaki mtoa mada, huu ni ujinga tu acheni.

3. Wapenda likes.
Kuna watu humu nia yao ni kupata likes tu. Yaani wao wanasubiri mtu akitoa mada wao waje kucomment kituko tu wapate likes, sijajua sasa likes sijui ndo zinawapa cheo. Sio mbaya lakini maana zinatufurahisha na kutuongezea siku.

4. Watu wakuvunja wenzao moyo.
Hawa unakuta mtu katoa wazo lake kuhusu biashara fulani au changamoto anazozipata katika biashara yake, hawa hutoka huko na kuja kucomment vitu vya kukatisha tamaa kabisa, sio poa.

5. Waongo kupindukia.
Humu ndani kuna watu waongo sana na kuigiza maisha, juzi kati kuna jamaa anajitamba kabisa katika uzi fulani kuwa yeye ni mtu mwenye cheo fulani katika taasisi fulani na kuanza kuongea vitu ambavo alifikiri anavijua yeye pekee kutokana position aliyojitamba kumbe vitu hivyo kuna watu tunafatilia pia, si vibaya maana watu hawa wameumbwa hivi.

Mwisho, niseme kosoeni muandiko mbaya, matusi n.k
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
16,599
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
16,599 2,000
Naomba nisianze na salamu yoyote...

Nilichogundua JF kuna kila aina ya watu, watu wa aina mbali mbali unawapata humu. Naomba niwajadili kidogo sifa chache za hawa watu:

1. Wapenda misifa.
Yani hawa mtu anaweza kutoa uzi wenye maana fulani au kuelimisha, yeye anachangia maneno ya kichekesha tu au kukebehi tu alichozungumza mtoa mada.

2. Waropokaji.
Hawa huwa wanaropoka tu, sijui ni huwa wanatype kwa vidole au kwa makalio...!? Yaani waha mtu anaweza ata akauliza kitu cha maana katika mada yake, yeye anaropoka jibu tofauti au jibu fulani la kumdhihaki mtoa mada, huu ni ujinga tu acheni mara moja.

3. Wapenda likes.
Kuna watu humu nia yao ni kupata likes tu. Yaani wao wanasubiri mtu akitoa mada wao waje kucomment kituko tu wapate likes, sijajua sasa likes sijui ndo zinawapa cheo. Sio mbaya lakini maana zinatufurahisha na kutuongezea siku.

4. Watu wakuvunja wenzao moyo.
Hawa unakuta mtu katoa wazo lake kuhusu biashara fulani au changamoto anazozipata katika biashara yake, hawa hutoka huko na kuja kucomment vitu vya kukatisha tamaa kabisa, sio poa.

5. Waongo kupindukia.
Humu ndani kuna watu waongo sana na kuigiza maisha, juzi kati kuna jamaa anajitamba kabisa katika uzi fulani kuwa yeye ni mtu mwenye cheo fulani katika taasisi fulani na kuanza kuongea vitu ambavo alifikiri anavijua yeye pekee kutokana position aliyojitamba kumbe vitu hivyo kuna watu tunafatilia pia, si vibaya maana watu hawa wameumbwa hivi.

Mwisho, niseme kosoeni muandiko mbaya, matusi n.k
Nilichogundua humu jf wengine ni wapiga punyeto kama wewe mtoa mada.

Kokontinko

Kokontinko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,802
Points
2,000
Kokontinko

Kokontinko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,802 2,000
Umejitahidi kuandika vizuri
Kuna walakini.Hana jema.Ni kulalama tu.Ameandika watu huongea.Humu hatuongei.Tunaandika au tunaeleza mawazo kwa maandishi.Aache ulalamishi kama "shosti kaachika"
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,440
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,440 2,000
Faida chache za Punyeto

Mkuu umeacha nini?.piga kupunguza stress
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,357
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,357 2,000
Nilichogundua humu jf wengine ni wapiga punyeto kama wewe mtoa mada.

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,357
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,357 2,000
Naomba nisianze na salamu yoyote...

Nilichogundua JF kuna kila aina ya watu, watu wa aina mbali mbali unawapata humu. Naomba niwajadili kidogo sifa chache za hawa watu:

1. Wapenda misifa.
Yani hawa mtu anaweza kutoa uzi wenye maana fulani au kuelimisha, yeye anachangia maneno ya kichekesha tu au kukebehi tu alichozungumza mtoa mada, si vizuri maana mtoa mada huwa tunakwazika sana.

2. Waropokaji.
Hawa huwa wanaropoka tu, sijui ni huwa wanatype kwa vidole au kwa makalio...!? Yaani hawa mtu anaweza ata akauliza kitu cha maana katika mada yake, yeye anaropoka jibu tofauti au jibu fulani la kumdhihaki mtoa mada, huu ni ujinga tu acheni.

3. Wapenda likes.
Kuna watu humu nia yao ni kupata likes tu. Yaani wao wanasubiri mtu akitoa mada wao waje kucomment kituko tu wapate likes, sijajua sasa likes sijui ndo zinawapa cheo. Sio mbaya lakini maana zinatufurahisha na kutuongezea siku.

4. Watu wakuvunja wenzao moyo.
Hawa unakuta mtu katoa wazo lake kuhusu biashara fulani au changamoto anazozipata katika biashara yake, hawa hutoka huko na kuja kucomment vitu vya kukatisha tamaa kabisa, sio poa.

5. Waongo kupindukia.
Humu ndani kuna watu waongo sana na kuigiza maisha, juzi kati kuna jamaa anajitamba kabisa katika uzi fulani kuwa yeye ni mtu mwenye cheo fulani katika taasisi fulani na kuanza kuongea vitu ambavo alifikiri anavijua yeye pekee kutokana position aliyojitamba kumbe vitu hivyo kuna watu tunafatilia pia, si vibaya maana watu hawa wameumbwa hivi.

Mwisho, niseme kosoeni muandiko mbaya, matusi n.k
3. Wapenda likes.
Kuna watu humu nia yao ni kupata likes tu. Yaani wao wanasubiri mtu akitoa mada wao waje kucomment kituko tu wapate likes, sijajua sasa likes sijui ndo zinawapa cheo. Sio mbaya lakini maana zinatufurahisha na kutuongezea siku.
 
Executor

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Messages
455
Points
500
Executor

Executor

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2014
455 500
Kuna walakini.Hana jema.Ni kulalama tu.Ameandika watu huongea.Humu hatuongei.Tunaandika au tunaeleza mawazo kwa maandishi.Aache ulalamishi kama "shosti kaachika"
Mmoja kati ya wengi....
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
3,830
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
3,830 2,000
Nilichogundua humu jf wengine ni wapiga punyeto kama wewe mtoa mada.

😂😂😂😂😂😂
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
1,554
Points
2,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
1,554 2,000
hujui hata unachoongea,jamii hii ya JF ni jamii ya kawaida sema imekuwa powered na technology sasa nashangaa unavyotaka kuifanya JF ni jamii nyingine isiyopo kwenye ulimwengu huu.Mtu kuwa humu hakumbadilishi uhalisia wake.Jamii yoyote inahitaji mchanganyiko wa watu,pengine ungeanzisha JF ya ukoo wenu ili usifanyiwe masihara
 
Forum statistics

Threads 1,335,178
Members 512,245
Posts 32,498,160
Top