Nilicheka sana mbavu zangu dah siasa mbaya sana ukiwa msomi unakuwa kama sio

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Eti Mkuru**nzi alikuwa na karatasi kama 3 na zaidi hivi za kusaini kwa hiyo hakuwa amemaliza kusaini hata hivyo zisingetumika kwa siku hiyo au usiku hata kama wangepewa usiku huo kabla ya kuja kazini kwa wapiga K*RA,

Swali, kwani miaka yote huwa wanatoa siku ngpi kabla? Inamaana alikosea kutoa siku ile jioni baada ya shamrashamra sio. Na miaka yote hatukuwa na vitambulisho vya uraia tulikuwa tunaingiaje kama wasimamizi na wengine wahusika tulikuwa tunatengenezewa vitambulisho vya uraia vya muda vya kuingia navyo? Ama kweli kama Wenger mwenyewe anawajibu hivi waandishi wa habari dah basi hata elimu alyo nayo nina wasiwasi sio halali.

Hivi hamjamuona mtu mwenye elimu yake kubwa tu lakini anadiriki kutoa elimu na maelekezo ya uongo kwa wanafunzi wake na hata wale wanao mtegemea kama baba kuwa atawaelimisha na kuwapa elimu nzuri ili wawe mfano kwa wengine. Sasa ndio wapo hapa duniani kwa mara ya kwanza nimewaona.
 
Eti Mkuru****nzi alikuwa na karatasi kama 3 na zaidi hivi za kusaini kwa hiyo hakuwa amemaliza kusaini hata hivyo zisingetumika kwa siku hiyo au usiku hata kama wangepewa usiku huo kabla ya kuja kazini kwa wapiga K*RA,

Swali, kwani miaka yote huwa wanatoa siku ngpi kabla? Inamaana alikosea kutoa siku ile jioni baada ya shamrashamra sio. Na miaka yote hatukuwa na vitambulisho vya uraia tulikuwa tunaingiaje kama wasimamizi na wengine wahusika tulikuwa tunatengenezewa vitambulisho vya uraia vya muda vya kuingia navyo? Ama kweli kama Wenger mwenyewe anawajibu hivi waandishi wa habari dah basi hata elimu alyo nayo nina wasiwasi sio halali.

Hivi hamjamuona mtu mwenye elimu yake kubwa tu lakini anadiriki kutoa elimuna meelekezo ya uongo kwa wanafunzi wake na hata wale wanao mtegemea kama baba kuwa atawaelimisha na kuwapa elimu nzuri ili wawe mfano kwa wengine. Sasa ndio wapo hapa duniani kwa mara ya kwanza nimewaona.
Always ukiukana ukweli lazima uonekane chizi ata Kama una lundo lama PhD.

My take:hatuwezi kujenga viwanda kwa uongo. tumrudie mungu zambi za ccm zinalitafuna taifa.
 
Always ukiukana ukweli lazima uonekane chizi ata Kama una lundo lama PhD.

My take:hatuwezi kujenga viwanda kwa uongo. tumrudie mungu zambi za ccm zinalitafuna taifa.
Ukweli dhuluma inayofanywa n ccm ndio matokeo yke haya
 
Back
Top Bottom