mathewa
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 775
- 1,168
ni vibaya sana kumtusi mtu hata kama hukubaliani na kile anachozungumza. makudi kama haya ni hatari kwa ustawi wa chama.me naaminihakuna aliye juu ya chama. na wau hawako cdm kwa sababu ya mtu fulani. watu wanataka mabadiliko ya kweli. wako tayari kumuunga mkono yoyote aliyetayari kuwafikisha wanapotaka iwe amezaliwa kabla, wakatiau baada ya uhuru