Niliambiwa kama unataka, niambie. Mimi nikalala nikakosa mambo

Mbeya 1 hii..PHSS
Oh my God

Pandahili pandahil shule yangu nakupenda sana

Pandahil pandahil ...

Ni kitovu cha elimu bora ...

Mara ya kwanza ufikapo pandahili ...

Utakutana na walimu wenye ujuzi
....

Unaukumbuka huu wimbo ...

Oohh my God , your my school mate

Zaman nlsoma hapo ordinary level
 
😂😂😂😂😂...tuishie hapa
 
Kila mtu ana story ya aina hii ya utotoni. Sisi wazee tunaona aibu kusimulia za kwetu kwa sasa.
Niaje mazee

Hivi mazee ushawahi kosa mambo kwa manzi kisa umeshindWa kujiongeza?

Bwana ilikuwa darasa la saba tulienda tour.. Sasa mda wa kurudi nkabahatika siti ya mwishoni kabisa kwenye moja ya basi tatu aina ya costa mayai tulizokodi..

Safari ikaanza sasa kuna manzi mmoja alikuwa mkali tena alikua mgeni mgeni tu pale shuleni... Akasimama kwa mda mwisho akaangalia pale nyuma kwa vile ananijua mimi mpole akaja akaomba nimpakate.. Sikujivunga nkampakata.

Basi kwa ushamba wangu nikawa nahangaika kuhakksha chuma hakishiki moto sana.. Mida ya saa mbili hivi usiku binti kanilalia kifuani akaninong'oneza "ukitaka niambie kwa muda wako" mie sikuelewa nikaitikia okay nikalala zangu hadi tunafika saa nne usiku ule..

Miaka ikaenda weee niko zangu form 3 na ticha anaflow na hesabu zake.. Automatically kumbu kumhu za tukio la ile ziara zikanijia (vile sipatani na hesabu nilikuwa nawaza yangu tu)...

Ile nakumbuka ile kauli ya yule binti "ukitaka niambie kwa muda wako" nikaelewa sasa alikuwa anamaanisha nini kuniambia vile.. Bila kutegemea nikakurupuka kwa sauti ayaaaaaaaaaaaa!!!!...,.ticha akamute na darasa zima macho kwangu.

Nlikula bakora...

Hivi ushawahi poteza fursa kwa kutojiongeza namna hiyo..
 
na itadumu kweli,
Unakumbuka ile safari ya kikazi Moro tukafika usiku sana....tukabahatika kupata chumba kimoja cha kulala?
Mpaka kunakucha nakodoa macho....bado najiuliza uliwezaje kulala?
hata mimi sikulala....ni vile tu nilikua bado nakuwinda, ningeanza utundu mapema ungenikimbia wewe,

it worked lakini
mambo mazuri hayataki haraka.
 
Kuna manzi nilimpenda kinoma nikamuimbisha sana, akaja kunielewa. ila akaniambiaga romance ruksa ila sex hakuna. kamanda nikakubali kishingo upande. Kuna siku kama mbili nilibaki peke angu wazazi na ndugu walisepa. manzi akaja katika mastories akasema anahitaji kuoga. Bafu na Choo vipo ndani, nikampeleka nikamuonesha nikasepa. Baada ya muda akaniita akaniambia "we bwege kweli unashindwaje kuniogesha mpz wako?". Nikajiona bwege, nikaanza kumuogesha ile natoka akanivuta akaniambia "niache ubwege mtoto wa kiume". Kiukweli nilikula mzigo kwa juhud za manzi.

NB: Kila master alipitia ktk uboya
 
Hukosi cha kujitetea, unaniwindaje wakati kitoweo kilikuwa tayari ni wewe kula tu....
Labda useme ulikuwa na kawoga kako huko.....unakoroma kabisa.....

uwoga ulikuwepo kiasi, ukiwa ndani na mtoto mzuri lazima uwaze unaanzaje tena wakati bado unamfukuzia, sio mchezo....

hivi ningekula mzigo/kitoweo siku ile kazi zingeenda kweli kule?
 
Mkuu bado una oportunity
Umenikumbusha ,kuna manzi mmoja mlokole nilimfukuzia kuanzia form six mpka chuo sikufanikiwa. alikuwa akisoma Iringa .wakati nimemaliza chuo natafuta kazi akanambia nakuja dar kutembea tembea ila kesho yake nitaondoka. Akanambia nimtafutie gest.
Nikatafuta room pale Shakilango,saa 3 usiku nikamuacha nikarudi home. Asubuhi akasepa zake kwenda Dodoma.

Baada ya miaka mitano ameshaolewa ananiambia we fala nilikuletea k mpaka Dar ukaiacha ukaenda kulala kwenu. Niliumia nusu nilie
 
Niaje mazee

Hivi mazee ushawahi kosa mambo kwa manzi kisa umeshindWa kujiongeza?

Bwana ilikuwa darasa la saba tulienda tour.. Sasa mda wa kurudi nkabahatika siti ya mwishoni kabisa kwenye moja ya basi tatu aina ya costa mayai tulizokodi..

Safari ikaanza sasa kuna manzi mmoja alikuwa mkali tena alikua mgeni mgeni tu pale shuleni... Akasimama kwa mda mwisho akaangalia pale nyuma kwa vile ananijua mimi mpole akaja akaomba nimpakate.. Sikujivunga nkampakata.

Basi kwa ushamba wangu nikawa nahangaika kuhakksha chuma hakishiki moto sana.. Mida ya saa mbili hivi usiku binti kanilalia kifuani akaninong'oneza "ukitaka niambie kwa muda wako" mie sikuelewa nikaitikia okay nikalala zangu hadi tunafika saa nne usiku ule..

Miaka ikaenda weee niko zangu form 3 na ticha anaflow na hesabu zake.. Automatically kumbu kumhu za tukio la ile ziara zikanijia (vile sipatani na hesabu nilikuwa nawaza yangu tu)...

Ile nakumbuka ile kauli ya yule binti "ukitaka niambie kwa muda wako" nikaelewa sasa alikuwa anamaanisha nini kuniambia vile.. Bila kutegemea nikakurupuka kwa sauti ayaaaaaaaaaaaa!!!!...,.ticha akamute na darasa zima macho kwangu.

Nlikula bakora...

Hivi ushawahi poteza fursa kwa kutojiongeza namna hiyo..
Pole mkuu,unaonekana hata darasani ulikuwa mzito kuelewa, neno dogo miaka mitatu, Theory simpaka sasa hujaelewa!
 
Kuna manzi nilimpenda kinoma nikamuimbisha sana, akaja kunielewa. ila akaniambiaga romance ruksa ila sex hakuna. kamanda nikakubali kishingo upande. Kuna siku kama mbili nilibaki peke angu wazazi na ndugu walisepa. manzi akaja katika mastories akasema anahitaji kuoga. Bafu na Choo vipo ndani, nikampeleka nikamuonesha nikasepa. Baada ya muda akaniita akaniambia "we bwege kweli unashindwaje kuniogesha mpz wako?". Nikajiona bwege, nikaanza kumuogesha ile natoka akanivuta akaniambia "niache ubwege mtoto wa kiume". Kiukweli nilikula mzigo kwa juhud za manzi.

NB: Kila master alipitia ktk uboya
Aisee wewe ndo ulikuwa falaa khaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom