Niliacha kumpenda Rais Samia tangu alipomteua January Makamba kuwa Waziri wa nishati

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Awali nilifurahi sana hasa ile march seventeenth na furaha ilikamilika zaidi baada ya Samia kuapishwa na kuwa rais wa Tanzania.

Nilimpenda kwa sababu kwanza ni mwanamke hivyo niliamini kunautofauti kati ya yeye na wale wanaoamini urais ni ME na wakaishia kutufikisha hapa tulipo.

Niseme tu samahani sana kwa wale ambao niliwasema vibaya kwa kuwa walikuwa wanasema vibaya kuhusu mama.

Nisiishie tu kuomba msamaha, pia nawahakikishia kuwaunga mkono. Silizishwi na hauhitaji kutumia rocket science kuelewa hili.

Hadi mda huu sijaona alichokifanya tofauti na kusafiri tu nje na kama kipo mtanikumbusha.

MATATIZO YA RAIS SAMIA NA UTAWALA WAKE.

1. Ana inferiority complex kwakuwa ni mwanamke. Mda wote anazungumza kuhusu wanawake wanawake and the likeness

2. Anakubali kutumika na maafisa waliochini yake.

3. Amepandisha bei vitu vinavyomlenga mkulima na kilimo

3. Ameshusha bei mazao yote

5. Kuwaamini wezi wakubwa wa rich mond,epa,escro and the likes kuwa wataijenga nchi na kumsaidia

6. Hana msimamo kwenye mambo nyeti mfano korona, kipindi akiwa vice na sasa akiwa rais

7. Ukandamizaji wa demokrasia na utawala bora

8. Kutovunja bunge lililowekwa kinyume na wananchi wills

9. Kukataa katiba mpya.

10. Anajiona ni Rais wa Zanzibar na sio bara na hasikilizi vilio vya watu masikini.

11 Hatoi ajira

Shida ya ccm ni maji,umeme na barabara mengine ni majengo na huduma mbovu
 
5. Kuwaamini wezi wakubwa wa rich mond,epa,escro and the likes kuwa wataijenga nchi na kumsaidia

6. Hana msimamo kwenye mambo nyeti mfano korona, kipindi akiwa vice na sasa akiwa rais

7. Ukandamizaji wa demokrasia na utawala bora

8. Kutovunja bunge lililowekwa kinyume na wananchi wills

9. Kukataa katiba mpya.

Upeo wako uko chini! Lugha yako pia mbovu sana!
Pare× ni Pale✓ , Silizishwi× ni Siridhishwi✓ .Mwache Rais Samia afanye kazi , peleka maneno yako uko vijiweni kwenye kahawa!
Kama ni hivyo haujui tafsiri sahihi ya lugha. Hayo unayoyataka tumemwachia Mrisho Mpoto na TUKTA. Hapa message tu.
Kazi gani hiyo anayoifanya? Itaje icje ukazungumzia kuzurula ndio kazi yenyewe
 
Mama kama mama piga kazi ,huyu alieleta huu uzi hapa ni sukumagang ni atakuwa ni Kalemani
Onyesheni hata kimoja cha kumkumbuka mama lets say she is under the red soil now. Nn mtamkumbuka alichofanya? A. Kumteua J. Makamba,Aweso etc kuwa wapiga diri wake?, kupandisha bei ta mbolea? Migao ya huduma za msingi,kumkamata mbowe, kutoipa kipaumbele katiba ya wananchi?
 
Wote wanaompinga January Makamba wana Agenda ya siri.
Makamba ni mwizi na mhujumu mkubwa wa mali za wananchi. Kwa kuangalia tu timu ya mama na marafiki zake hainipi shida kujua sasa yy ni nani. Mpiga diri kama wapiga diri wengine tu waliopita na wajao.
 
Makamba ni mwizi na mhujumu mkubwa wa mali za wananchi. Kwa kuangalia tu timu ya mama na marafiki zake hainipi shida kujua sasa yy ni nani. Mpiga diri kama wapiga diri wengine tu waliopita na wajao.
Dikteta ndio lilikuwa kubwa la majizi
 
Makamba ni mwizi na mhujumu mkubwa wa mali za wananchi. Kwa kuangalia tu timu ya mama na marafiki zake hainipi shida kujua sasa yy ni nani. Mpiga diri kama wapiga diri wengine tu waliopita na wajao.
This makamba boy thinks he is smart. Na mawani yake ya machinga yale!

Hivi yale mawani yake yamethibitishwa na daktari kweli?

Au ameokota tu dukani akavaa?

Mawani gani hayana prescribed lens? Na mibarakoa yake ile kama kavaa bomu mdomoni?

Stupid boy.
 
Back
Top Bottom