Niliacha kumpenda Rais Samia tangu alipomteua January Makamba kuwa Waziri wa nishati

Awali nilifurahi sana hasa ile march seventeenth na furaha ilikamilika zaidi baada ya Samia kuapishwa na kuwa rais wa Tanzania.

Nilimpenda kwa sababu kwanza ni mwanamke hivyo niliamini kunautofauti kati ya yeye na wale wanaoamini urais ni ME na wakaishia kutufikisha hapa tulipo.

Niseme tu samahani sana kwa wale ambao niliwasema vibaya kwa kuwa walikuwa wanasema vibaya kuhusu mama.

Nisiishie tu kuomba msamaha, pia nawahakikishia kuwaunga mkono. Silizishwi na hauhitaji kutumia rocket science kuelewa hili.

Hadi mda huu sijaona alichokifanya tofauti na kusafiri tu nje na kama kipo mtanikumbusha.

MATATIZO YA RAIS SAMIA NA UTAWALA WAKE.

1. Ana inferiority complex kwakuwa ni mwanamke. Mda wote anazungumza kuhusu wanawake wanawake and the likeness

2. Anakubali kutumika na maafisa waliochini yake.

3. Amepandisha bei vitu vinavyomlenga mkulima na kilimo

3. Ameshusha bei mazao yote

5. Kuwaamini wezi wakubwa wa rich mond,epa,escro and the likes kuwa wataijenga nchi na kumsaidia

6. Hana msimamo kwenye mambo nyeti mfano korona, kipindi akiwa vice na sasa akiwa rais

7. Ukandamizaji wa demokrasia na utawala bora

8. Kutovunja bunge lililowekwa kinyume na wananchi wills

9. Kukataa katiba mpya.

10. Anajiona ni Rais wa Zanzibar na sio bara na hasikilizi vilio vya watu masikini.

11 Hatoi ajira

Shida ya ccm ni maji,umeme na barabara mengine ni majengo na huduma mbovu
Akili zako zinakutosha wewe tu,hakuna rais anayeteua watu kufurahisha watu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom