Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

ARUSO

Member
Jul 12, 2017
94
125
Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,670
2,000
Uliacha chuo kiaje mkuu fafanua hapo..
Ukifukuzwa?? Au uliacha tu kwenda bila taarifa yoyote?? Kma ni kwa sababu hizo sidhani kama utapata cheti chochote coz unahesabika sio mwanafunzi wao.

Ila kama uliandika barua ya kusimamisha masomo kwa muda flani labda unaweza kupata higher diploma kama mdau alivosema hapo.

Zaidi nenda ufatilie hapo chuoni kwenu. Sometimes vyuo huwa vinatofautiana sheria zake.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,045
2,000
Soma sheria ya chuo chako inayo na academic regulations/progression. Lakini kwetu hapa Tanzania sidhani kama inawezekana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom