Nile nini ninenepe

Incoming call

Member
Jan 5, 2019
24
7
Wadau habari zenu

Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .

Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza jikuta nakula chakula hata saa kumi, alafu kiwango cha ulaji pia kikapungua yani nikila saa kumi hata chipsi za buku simalizi

Sasa hivi kila nguo inapwaya mwenzenu, nataka sasa nipunguze ubize na nijali mda wa kula ili nijenge afya yangu mana hizi hela zipo tu.

Nipeni ratiba na aina ya misosi ambayo inaweza nifanya nipate kunenepa ndani ya mwezi mmoja tu
#Siyo niwe bonge ila nirudie mwili wa zamani wa wastani

Karibuni kwa ushauri
 
Kunenepa hutokana na jinsi wewe mwenyewe ulivyoridhika ndani ya nafsi yako,hujawi kumuona mtu ana mwili mnene ila mkiingia wote hotel yeye anaagiza kipande cha mkate chai ya rangi na tumatunda kidogo wakati wewe umeagiza sahani ya wali maji juice vyote unakula wewe but kunenepa hunenepi?

Kama hujaridhika na jinsi ulivyo na vile ulivyo navyo basi hakuna short cut ya kuongeza mwili.

Sent using Redmi Note 5
 
Wadau habari zenu

Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .

Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza jikuta nakula chakula hata saa kumi, alafu kiwango cha ulaji pia kikapungua yani nikila saa kumi hata chipsi za buku simalizi

Sasa hivi kila nguo inapwaya mwenzenu, nataka sasa nipunguze ubize na nijali mda wa kula ili nijenge afya yangu mana hizi hela zipo tu.

Nipeni ratiba na aina ya misosi ambayo inaweza nifanya nipate kunenepa ndani ya mwezi mmoja tu
#Siyo niwe bonge ila nirudie mwili wa zamani wa wastani

Karibuni kwa ushauri
Bia kitimoto usiku
Mayai maziwa asubuh
Ugali mbuzi mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini umeshasema tatizo ni ubize, kula umechelewa na kula kidogo. Na umeamua kupunguza ubize. Fanya hayo na afya yako itarudi - maana ndiyo yaliyoiondoa.
 
Huwa siku zote nakwambia acha nyeto... Na tatizo lako si kukonda tu bali hata nguvu huna .si huwa nakuona ukitembea.... Unajua kwa nini washkaji wanakuita cha upepo? Wanasema huwa unapiga nyeto mpaka unatoa upepo... Na sasa ukitembea hata upepo unakuyumbisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom