Incoming call
Member
- Jan 5, 2019
- 24
- 7
Wadau habari zenu
Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .
Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza jikuta nakula chakula hata saa kumi, alafu kiwango cha ulaji pia kikapungua yani nikila saa kumi hata chipsi za buku simalizi
Sasa hivi kila nguo inapwaya mwenzenu, nataka sasa nipunguze ubize na nijali mda wa kula ili nijenge afya yangu mana hizi hela zipo tu.
Nipeni ratiba na aina ya misosi ambayo inaweza nifanya nipate kunenepa ndani ya mwezi mmoja tu
#Siyo niwe bonge ila nirudie mwili wa zamani wa wastani
Karibuni kwa ushauri