Nikweli Tumesaau Aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 Mpaka Tuandamane Kumtetea?

In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles.
The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.
je!! nikweli watanzania tunanini cha kumtetea Gaddafi, kwa lipi kubwa alilo tufanyia mpaka tuandamane?

unaonekana umesoma historia ya kuchakachuliwa na mwalimu NYERERE vita ya IDI AMIN na Tanzania ilifunikwa na siri NZITO huwezi jua sio tu mpaka wa kagera na daraja lililobomolewa. Kuwa mdadisi ujue undani wa source ya vita
 
Mbaya wetu sio Gaddafi wala Amin ni Nyerere aliyetupiganisha vita vya kumrudisha Swahiba wake Obote ambaye alikuwa hana mvuto.

Issue si mvuto, mbona kikwete aliingia kwa mbwembwe eti ana mvuto , mbona katubamiza kwenye mto wa mbu? sema basi wangemwacha amini achukue eneo la kanda ya ziwa ili viongozi wa Tz wawe na uwezo wa kuongoza vizuri kiuchumi, kuliko hivi sasa nchi kubwa lakini umasikini ni wa kutisha.
 
Wazo zuri naona kuna wanaJF wengine kuna baadhi ya thredi wangekuwa wanakaa kimya tu!!au wakitushindwa tumuombe Invisible atusaidie ni kinyaa kumtetea mtu aliesababisha vifo vya ndugu zetu!!!
 
In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles.
The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.
je!! nikweli watanzania tunanini cha kumtetea Gaddafi, kwa lipi kubwa alilo tufanyia mpaka tuandamane?
Hebu tujuze na walioandamana ni watu wa chama/kikundi/taasisi gani?au ni watanzania wote kwa ujumla nikipata majibu ya swali langu ndipo nitatoa jibu
 
ni kweli usiopingika gaddafi hakuchagua wa kuua watanzania wawe wakristo au waislamu hebu tujiulize leo kama Amin angekuwepo unafikiri gaddafi angekua rafiki yetu.
 
ndugu zangu naomba tufikiri 'critically'.suala hapa si kumtetea gaddafi isipokuwa ni kupinga kulaani vikali uvamizi wa mataifa ya magharibi nchini libya.ieleweke tu kwamba hawa wazungu lao kubwa ni uchu wa rasilimali mafuta katika libya.gaddafi kaonekana kikwazo kwa wao kupenyeza mirija yao ya kinyonyaji.mi namkubali gaddafi kwani ni kiongozi anayetetea masilahi ya taifa lake.wazungu hawana utu,hivyo tusiwashabikie kwa unyama wanaofanya huko libya.

kwahiyo wale wanaoandamana kumpinga huko nchini kwao ni mafara? Wewe ndo hapa tz ndo unajiona ni mwanalibya saafi...kisa kujengewa misikiti...lol.....je umewahi kufikiria makombora ya ndege anayotumia ghadaf dhudi ya wananchi wake? Mbona hamkuandamana kuwa tetea?
 
Hakuna wanaondamana Libya labda kama wewe TV yako ni ya Udongo maana hata wanaripoti wanasema waasi, Haijawahi kusemwa wananchi hata siku moja hata marekani kaenda kuwasaidia waasi. Tusiwe bias tujaribu kufikiria haki za mataifa Bagbo ameng'ang'ania Ikulu hajapigwa, Huyu waaasi hawamtaki wanasaidiwa. ninini hii, au ndio mliambiwa kuwa nyinyi manano mkiambiwa hamsikii ila kelele, hakika nyie ni vizuwi, kuliko viziwi.

TV zinasema waasi na hawaandamani ila wanapigana wanazana za kutungulia NDEGE, AK-47 mnasema wananchi hao siasa ipi uliosoma mwenetu au mwanamziki nawewe hukuenda shule? maana hata Mr II ni graduate.

Mataifa yamechemka kumpiga ghadafi hawana hoja zaidi ya ubeberu.

SUALA la IDI amin aidha wewe ulikuwa mdogo au ulisoma vitabu vya tanzania venye mlengo mmoja hujapata upande wa pili wa vita, nini chanzo mpaka idi amin avamie Tanzania? Au unafikiri alivamia kwa sababu ni kichaa? alikuwa na sababu hizo ndo nataka uziweke hapa ujue Nani mchokozi?
 
Back
Top Bottom