Nikweli Tumesaau Aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 Mpaka Tuandamane Kumtetea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikweli Tumesaau Aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 Mpaka Tuandamane Kumtetea?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TITAN, Mar 29, 2011.

 1. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles.
  The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.
  je!! nikweli watanzania tunanini cha kumtetea Gaddafi, kwa lipi kubwa alilo tufanyia mpaka tuandamane?
   
 2. K

  Kipopori Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Njaa hufanya uone kuwa shetani ni kiumbe safi.huyo gadafi ni mtoto wa ibilisi.fullstop.
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wale wanaoandamana na mabango wana vichwa vya kuku, si unajua ukimkuta kuku anakula mahindi uliyoanika ukampiga na jiwe anakimbia hatua mbili tatu afu anajiuliza hivi nilivopigwa na jiwe ilikua jana au juzi? aaah ilikua juzi, mwenyewe atakua kaondoka.....basi kuku anakuja tena kula mahindi
   
 4. P

  Prince MakBenny Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naomba tufikiri 'critically'.Suala hapa si kumtetea Gaddafi isipokuwa ni kupinga kulaani vikali uvamizi wa mataifa ya magharibi nchini Libya.Ieleweke tu kwamba hawa wazungu lao kubwa ni uchu wa rasilimali mafuta katika Libya.Gaddafi kaonekana kikwazo kwa wao kupenyeza mirija yao ya kinyonyaji.Mi namkubali Gaddafi kwani ni kiongozi anayetetea masilahi ya taifa lake.WAZUNGU hawana utu,hivyo tusiwashabikie kwa unyama wanaofanya huko Libya.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbaya wetu sio Gaddafi wala Amin ni Nyerere aliyetupiganisha vita vya kumrudisha Swahiba wake Obote ambaye alikuwa hana mvuto.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wadanganyika wengi ni small-minded..utaumiza kichwa chako bure..wanaotaka kuandamana waache waandamane hata wakitaka kila siku..wewe endelea kutafuta ela kwa ajili ya mkeo na wanao.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Small minded as usual.

  Taarifa za kijasusi zinasema huyo Amin alikuwa ni sehemu ya mpango wa haohao ambao leo wanambonda Gadafi...sasa anza kutumia akili basi..eh?
   
 8. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prince : swala si mafuta bali ni unyama anaoufanya Gaddafi naomba ujaribu kufatilia history yake toka baba yake utajua ni watu wa aina gani, alafu fatilia vyombo vyote vya habari, utaona vitu alivyo fanya na anavyo endelea kufanya, ni kiongozi gani wa africa aliye msafi wa kumtetea Gaddafi? wote wamekaa kimya kwa kuwa wanajua wanavyo vifanya, je ni sahii kuwaacha binadamu wengine waendelee kunyanyaswa na kuteswa na utawala wa mabavu usiyo na democrasia? gaddafi amekaa kwy madaraka kwa muda gani? akuna watu wengine wenye uwezo wakua viongozi kama yeye uko Libya? unajua 3/4 ya walibya ni maskini wa kutupwa kama watanzania chini ya serekali ya CCm? jaribu kjua jamaa walifikiria vyakutosha mpaka wakaamua kumtoa gaddafi, watapata mafuta lakini wameokoa watu wasio na atia
   
 9. h

  hoyce JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tutakumbuka vipi wakati katujengea msikiti mkubwa Dodoma?
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Alituvuruga hakujali sisi kama kuna wakristo au waisilamu Muulizeni January Makamba yeye na bibi yake ikawabidi wakimbie

  kweli sisi waisilamu tunasahau kirahisi sana; yaani sasa Ghadaffi ni bora zaidi ya nchi yetu???
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Gadaff angekuwa na utu angetuma askari na midege kumsaidia Dikteta Idd Amin?Madikteta hupendana na kulindana
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Are you really a human being or just a shetani in human skin; who started he is the one who took the Land of Tanzania killing our own
  Kwa kifupi nenda Kagera Mutukula simama kwenye kitu halafu Uwaeleze wananchi wat Mutukula that Nyerere ndio Chanzo tuona kama utarudi kwa wake zako salama
   
 13. N

  Nyamanoro JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Ni kweli kabisa watu hawajishughulishi kujua chanzo wao wanajump kwenye madai ya utafutaji maslahi suala ambalo mara zote uwa ni propaganda za kukwepesha ukweli.
   
 14. a

  adobe JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Sababu ya wenzetu hawa ni kukosa uweledi wa mambo kwa kuwa hawataki kusoma na wanaridhisha hata watoto na wajukuu zao.Hata matokeo ya form four 2010 yanadhihirisha kuwa watoto wao hawasomi zaidi ya kupiga majungu.Ukiweka hizi shule kimakundi ya kiitikadi na hizi za Ahsante JK(kata) utaona hali halisi. Idiot
   
 15. M

  MLEKWA Senior Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku hizi sina mda sana kuchungulia hapa ukumbini lakini na mimi nitaandika japo sentesi moja nitawauliza Watanzania mumesahau wale vilema maelfu waliokuwa wamekuja kufichwa kweney kambi za jeshi kule Zanzibar, ilifika hata wakawa omba omba veteran hawa Nyerere aliwaficha kule baadae alisahau hata kuwapa chakula na Mwishowe kambi iliokuwa na vilema wengi zaidi amabayo Mchungaji Mtikila alishiriki kuijenga kule PEmba ndio iliokua na vilema wengi wa vita wa Uganda .
  Jee tunamtafuta Asange wa Tanzania atupatie intelligence kwa nini Nyerere alitutia vitani ,?
  Jee kama una jibu hili na una gut ya kuendeleza mjadala huu niambie shilingi ya Tanzania ilikua na thamnai gani kabla ya vita vya uganda , leo shilllingi ina tofauti gani baada ya vita vya uganda Watanzania tusiwe vihiyo tufanye research za kueleweka sio tunaandika tu.
  Vita vya kumgoa ID AMIN Nyerere alitumiwa na nchi za Magharibi kwa niaba ya Israel kwa vile Amin alianza kuwakaribisha wapiganaji wa kipalestina Uganda na issue nyengine za 90 minutes kule Intebe semoni historia sikwambii Nyerere alikua anti palestianian ila mwanzoni Nyerere alikua pro Israel na ndio tukajengewa makambi ya JKT kila kona na Israel.Na mwishowe Nyerere alikua akimualika Arafat kkila mwaka pale Kizota tujiulize watannzania tumeingizwa kwenye muungano wa Tanznaia ni cold war kuogopwa Zanzibar kuwa cuba ya Afrika na kuingizwa vita vya uganda kwa kuhofia Amin kuiingiza mgogoro wa Middle east East Africa , Kenyata alikataa mtego wa nchi za magharibi Nyerere alituingiza kwenye vita vilivyotutia umasikini hadi leo hii.

  kwa upande wa Colonel Gadafi kuna mazuri yake alioyafanya hakuna kiongozi wowote wa kiarabu aliowahi kufanya kupigania haki za wananchi wake kuwatoa Western countries tonge mdomoni Significant reserves had been discovered in Libya in the late 1950s, but the extraction was controlled by foreign petroleum companies, which set prices to the advantage of their own domestic consumers and benefited from a half share in the revenue.

  Col Gaddafi demanded renegotiation of the contracts, threatening to shut off production if the oil companies refused.

  Gadafi hatoishi milele ila historia itamkumbuka huwezi kusema Libya is a Arab country kama warabu wanavyotaka maneno ya gadafi yaliwauma warabu kusema yeye ni Muafrika ndio leo ukaona warabu wako aradhi anyongwe kwenye kitanzi kama Saddam, Gadafi alikua perfect Dictator aliekuwa hakukubali kuwa puppet wa nchi za maghrabi niwaulize kuna Mfalme gani wa Middle EAst anaetaka demokrasia hawa wafalme wote wlaikwa na Britsh leo anaongoza warabu kwa mlango wa Nyuma

  Libya is an African country. May Allah help the Arabs and keep them away from us. We don't want anything to do with them" Libyan TV, March 2007


  Gaddafi was a huge admirer of Egypt's Gamal Abdel Nasser, who led the Egyptian Revolution of 1952 He memorably challenged foreign oil executives by telling them "people who have lived without oil for 5,000 years can live without it again for a few years in order to attain their legitimate rights".The gambit succeeded and Libya became the first developing country to secure a majority share of the revenues from its own oil production. Other nations soon followed this precedent and the 1970s Arab petro-boom began. Libya was in a prime position to reap the benefits. With production levels matching the Gulf states, and one of the smallest populations in Africa
  Ikiwa Gabo na Abdulla Saleh wa Yemen wanauwa zaidi ya watu hamsin ikwa siku ila hatuoni ndege za nchi za Magharibi kupiga na kubomoa Nchi hizi nauita huu nia aina mpya ya ubeberu wa nchi za Maghribi, tujiulize kwa nini Egypt hikupigwa na majeshi ya nchi za magharibi ukwlei ni kuwa hakuna mafuta , Yemen Rais katawala kwa miaka 30 na kila kitu kinaongozwa na ndugu na mashemegi leo hatusikii Obama , British wala Mfaransa kusema chochote , mimi nawaunga mkono watanzania wanaoandamana kupinga kupigwa nchi yoyote na nchi za mghraibi ni ubeberu hata Nyerere aliupinga.
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hapa naona unamtetea huyu muuaji kwa kisingizio kuwa wazungu wanauchu na raslimali. Sikuungi mkono.
   
 17. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Eti hongo ya msikiti pale Dom!
   
 18. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kati ya wazungu na watawala wetu wa kiafrika wapi wenye utu? Ebu fikiria unyama unaofanywa na waafrika dhidi ya waafrika wenzao kama vile hawajuani? Nenda buzwagi, bulyanhulu, nyamongo ujionee! Gaddafi kutumia anti-aircraft kupiga wanaoandamana na kutetea maslahi ya nchi yake?
   
 19. F

  Fblukuwi Senior Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka fikiri kabla ya Kuongea. Pale Kagera Amin alipovamia na kuua ndugu zetu kwa msaada wa Huyu Gaddafi nyerere anaingiaje hapo? Acheni ushabiki wa kitoto tatizo la hao waandamanaji ni usahaulifu!
  Marekani na NATO wameanza kumchapa Gaddafi baada ya kuombwa na Jumuiya ya nchi za KIARABU! leo nyie wa bongo hamjui hata chanzo cha ugomvi mnadandia gari kwa mbele.
  Ningewaona wa maana kama mngeandamana kupinga hali ngumu ya maisha, tatizo la mgao wa umeme, ufisadi serikalini lakini kwa sababu ya udini na kujuana na JK hata aboronge vipi mnakaa kimya!!!
  Grow up guys!!!
   
 20. F

  Fblukuwi Senior Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kaka huyu jamaa kawajengea nymba za ibada nyingi huko porini hadi jamaa wamezigeuza nyingine magodown kwani amezijenga mahali ambako hakuna waumini wao.
  Pia sio siri hawa ma Vice Presidents (Omari JUma, na Shein) ndo walitumika kusambaza hiyo misaada wakiwa ktk majukumu yao ya kiserikali! Walikuja kijijini kwetu na mafurushi ya kanga kuwasilimisha wananchi nao wakalamba kanga na kanzu kisha wakalala mbele.!
   
Loading...