Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 213
Ndugu wajuzi wa mpira au watu mnao fuatilia masuala ya mpira, hivi nikweli kuwa ligi kuu ya uingreza wana tumia mpira mmoja tu kwa mechi? Kwamba mpira ukitoka nnje unasubiriwa huo huo hadi urudishwe uwanjani.
Kuna mtu nimebishana nae hapa na anadai tuwekeane dau la elf 50 kama unatumika zaidi ya mpira mmoja basi yeye atanipa elf 50 ila kama unatumika mmoja tu basi mimi napaswa kumlipa.
Nimeji toa kwenye competition ila nahitaji kujua ukweli uko vp.
Ligi inayo zungumziwa ni epl tu