Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Ukisikia kauli hii toka kwa sweetie ujiandae kabisaa kufungua waleti......whatever atakacho kwambia
Halafu hii 'nikwambie kitu dear' inakuwa kwenye tone ambayo lazima kidume ulegee!!He heee inakuwaga 'nikwambie kitu dear'? lol
ha ha haaa
vidume vingine uso wa mbuzi vinajibu kwa ukali..hapo...'nini kwani'? lol
for me not i can live even without moneyNo money,no love ..........believe me or not
for me not i can live even without money
mimi siku moja nilidhani nataka kupigwa mzinga kumbe alikuwa anataka nimsaidie kumfungua zipu ya sketi,kilichofuata hapo hutakiwi kusimuliwa.
for me it work out even hubby knows there is no different when we have money or not love is constant and life goes indeedlucky you!!!but for others that doesnt work out
Mimi siku moja nilidhani nataka kupigwa mzinga kumbe alikuwa anataka nimsaidie kumfungua zipu ya sketi,kilichofuata hapo hutakiwi kusimuliwa.
for me it work out even hubby knows there is no different when we have money or not love is constant and life goes indeed
He heee inakuwaga 'nikwambie kitu dear'? lol
ha ha haaa
vidume vingine uso wa mbuzi vinajibu kwa ukali..hapo...'nini kwani'? lol
for me not i can live even without money
Tunajua wapi pa kuwashika sie. Weakness zote za mwanaume twazijua kabisaa.Halafu hii 'nikwambie kitu dear' inakuwa kwenye tone ambayo lazima kidume ulegee!!