Nikwambie Kitu..........

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Ukisikia kauli hii toka kwa sweetie ujiandae kabisaa kufungua waleti......whatever atakacho kwambia
 
Daaaaah! Lakini ndio ukubwa huo hata asipo sema hivyo atatumia njia nyingine na utatoa tuu!
 
Unajibu, "I all ears sweetie" ikimaanisha "l am all $$$$$"
 
Mimi siku moja nilidhani nataka kupigwa mzinga kumbe alikuwa anataka nimsaidie kumfungua zipu ya sketi,kilichofuata hapo hutakiwi kusimuliwa.
 
Mimi siku moja nilidhani nataka kupigwa mzinga kumbe alikuwa anataka nimsaidie kumfungua zipu ya sketi,kilichofuata hapo hutakiwi kusimuliwa.

hahahaha umenichekesha sana,kidogo upishane na gari la mshahara!!
 
ndo majukumu hayo. mwanaume majukumu sio suruali coz hata wanawake wanavaa surual siku hizi.
 
Back
Top Bottom