Nikwa nini wengi wetu tulimtumainia jakaya?kuliko mgombea yoyote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikwa nini wengi wetu tulimtumainia jakaya?kuliko mgombea yoyote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Aug 21, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,542
  Likes Received: 2,240
  Trophy Points: 280
  Mimi najaribu kukumbuka uchaguzi wa mwaka 2005 Kwa jinsi watanzania walivyo kuwa na Imani kubwa kwa Rais J.Mrisho Kikwete kuliko mgombea yoyote yule!Nikwa nini?hatukuwa na imani na wagombes wengine??
  Je nikwamba hakuna aliyekua na uwezo wakuongoza?
  Je nikwasababu ccm kilikuwa nichama pekee chenye sifa?
  Je vyama vilikuwa na ubinafsi au mipango isiyokuwa madhubuti?
  Sasa je baada yakukaa miaka 2 mambo yote yaligeuka tofauti na matarajio yetu!
  Sasa kwanini baada ya miaka 5 bado tukamrudisha madarakani?Je nikwasababu ya kukosa sifa za wagombea wengine?Mimi nawewe sielewi nikwanini!unafikiri nikwa nini??
   
Loading...