Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,926
Wanaoishabikia CCM leo ili itawale milele waacheni wafanye hivyo ila bila wao kujua wanatengeneza maslahi yao ya leo kwa shingo zao fupi zisizoona kesho.
Mfumo huu huu wanaousimika leo unconstitutionally utakuja kuwala watoto wao kesho waacheni wachimbe kaburi lao leo hii wakijua wanamkomoa Lissu ila naapa kwa jina la aliyetuumba walioona umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi sio wajinga ni swala la muda
Leo hii wametangazana wako 200+ kwa sauti ya Ndugai, Mungu ni mwema baada ya miaka mitano hiyo 200+ ukitoa vifo vya kawaida watapukutishana wenyewe kwa wenyewe
Tunzeni Uzi huu hata nitaporudi mavumbini.
Superbug.