Niko tayari kutumikia chadema Tanzania

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habar wakuu Nia na madhumuni yangu napenda kusema kilichomo ndani yangu. si kwa ushabiki bali kwa nia ya dhati ya kuitumikia chadema. haijalish nina kiwango gani cha elimu ili niweze kuitumikia chadema Viongozi wa chadema wilaya,mkoa,taifa naomba muyasikie haya. au nimesema vibaya?
 
kila mtu anauhuru wa kufanya lolote ilimradi havunji sheria za nchi yetu. Tunakutakia kila la heri katika ndoto zako.
 
Hauitumikii cdm bali unalijenga taifa lako. Kuhusu cdm, kwanza jiunge uwe mwanachama ikiwemo kupata kadi na kulipia ada za uanachama. Then waelimishe wenzio wote elimu ya uraia ili wote tupambane kujitoa kwenye makucha ya wadhalimu!
 
Asante kwa utayari wako. Nafikiri wahusika wako humu na pengine watawasiliana nawe kukamilisha azma yako.
 
Anza na Mungu ili uweze kumaliza na Mungu, kuitumikia CHADEMA ni kujiweka jirani na Kifo, CCm inatumaliza kwa silaha na uharamia kama walivyofanya Igunga, Arumeru na sehemu mbalimbali
 
Unadhani tumesahau juzi uliposema madiwani 7 na wanachama mil.1 watajiunga chadema kwenye mkutano NMC?
Huwezi kutumika wewe. Onyesha kwanza kwa vitendo kuwa una nia njema kwa watanzania wanaohitaji ukombozi.

Ninavyoona ni kama nimeshaielewa nia yako. Samahani kwa kukuelewa vibaya.

Karibu
 
Maelezo hayajitoshelezi.

1) Kwanza wewe ni nani jina lako 2) unatokea mkoa gani 3) Kabila lako nani?

Jibu haya maswali ndio tutajua jinsi ya kukusaidia.

Umeelewa?
 
Mkuu unamaanisha ataktwa shingo?
Acha tabia ya kuwatisha wenzako bana
Anza na Mungu ili uweze kumaliza na Mungu, kuitumikia CHADEMA ni kujiweka jirani na Kifo, CCm inatumaliza kwa silaha na uharamia kama walivyofanya Igunga, Arumeru na sehemu mbalimbali
 
Unadhani tumesahau juzi uliposema madiwani 7 na wanachama mil.1 watajiunga chadema kwenye mkutano NMC?
Huwezi kutumika wewe. Onyesha kwanza kwa vitendo kuwa una nia njema kwa watanzania wanaohitaji ukombozi.

Ninavyoona ni kama nimeshaielewa nia yako. Samahani kwa kukuelewa vibaya.

Karibu

ahaaaa....asante kamanda kwa kuleta hili.....kumbe ndio huyu eeh.....

Habar wakuu Nia na madhumuni yangu napenda kusema kilichomo ndani yangu. si kwa ushabiki bali kwa nia ya dhati ya kuitumikia chadema. haijalish nina kiwango gani cha elimu ili niweze kuitumikia chadema Viongozi wa chadema wilaya,mkoa,taifa naomba muyasikie haya. au nimesema vibaya?

...Kila la heri Mkuu, kama si mwanachama basi hakikisha unapata kadi yako haraka sana na kulipia fees za mwaka mzima, na pia kuhakikisha unakuwa mwanachama hai.
 
Huyu mleta mada ni jambazi tu, CDM haitumikiwi na majambazi kama hao bali inahitaji watu wanyenyekevu kama mnyika na lema.
Go 2 hell
 
kila mtu anauhuru wa kufanya lolote ilimradi havunji sheria za nchi yetu. Tunakutakia kila la heri katika ndoto zako.

Kama ni hivyo mbona UDOM wanatimuliwa wakikutwa na skaf au kuonyesha kuisapot CDM? au hili suala mnalichukulia je?
 
ndiyo huyo mkuu

Mkuu umeniwahi huyu jamaa jana kadanganya kua wanachama Milioni Moja na Madiwani saba wa Magamba watajiunga na CDM sidhani hata watu elfu -umi kama walijiunga ile jana..
Jamaa muongo
 
Back
Top Bottom