Niko tayari kuoa endapo nitapata mwanamke kama huyu

Wela hadharani uwezo wako kipesa hatutaki mtu wa aina hii akaolewe kwenye njaa na mawazo
 
Aise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka...
Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe mmoja maana huku dar wote weupe.
Ramadhan kareem.View attachment 1097587
Acha uongo ww mabint weupe wapo sana jamn kanisani kwetu (sitalitaja lipo mbagala)kuna mdada anaimba kwaya jamn n black beauty m mwenyewe ananikosha balaa yan yuko natural hatar ,s mrefu wala mfupi,ana mwanya akicheka n hatar alafu ana shepu flan amazing yaan yuko natural
 
Niliwahi date na manzi kama uyo chuoni kumbe kuna ma lectures wa tatu walikua wakimfuatilia toka kitambo mmoja ni Dr wa kihindi binti akawachomolea wote ukizingatia dini ilikua imemkaa kisawasawa ni m RC, sasa nimefika mwaka wa pili semester ya kwanza nikawa na kipindi na lecture mmoja Kati ya hao walio kua wakimfukuzia kufupisha story yule lecture alinipa sup baadae nikamfuat tukaongea kiume, yule muhind aliwahi nisimamia kweny UE moja aka kaa pembeni yangu mwanzo mpaka mwisho wa pepa.

Yule manzi alikua black beauty mmoja hatari Sana, nilitoa sild mwenyewe.
Ebwanaeeee hukuoa mkuu??
 
We mwenyewe usijekuwa hasara tukupe binti aliyenyooka uje ujisifu na wayoto wakali kumbe ni kazi ya mama
 
Hata huyo hapo hayupo kwenye uasili, amepaka mkorogo sema tu inaonekana ni mweusi sanaaaaa!
Mbona nywele ame breach?!
 
Acha uongo ww mabint weupe wapo sana jamn kanisani kwetu (sitalitaja lipo mbagala)kuna mdada anaimba kwaya jamn n black beauty m mwenyewe ananikosha balaa yan yuko natural hatar ,s mrefu wala mfupi,ana mwanya akicheka n hatar alafu ana shepu flan amazing yaan yuko natural
Nitajie hilo kanisani jumapili nije tusali pamoja mpendwa.
 
Yupo huyu
FB_IMG_1557979753624.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom