Niko tayari kufundisha Kung Fu, Judo, Karate, Taekwondo & Kick boxing muda ukiruhusu

Mmmhh ningekuwa CUF ningelikutafuta! Kuna memba mmoja huyo anaitwa M Sugu anapenda karate

Out of point!!! (nnje ya mada!!!).
Inaonekana ungepewa kazi ya kugawa riziki, wale wapinzani wako wote usingewapa kwa kuwa wanapingana nawe. Tushukuru Mola kazi ya kugawa riziki anaifanya yeye mwenyewe, lau kama angemkabidhi binaadamu kazi hiyo ingekuwa kazi kweli kweliiiiii!!!
 
wapendwa JF wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of January 2011
muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa Dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure
to train you free, Kung fu + kung fu meditation, karate, judo, kick boxing na taekwondo hii ni muhimu
sana, najua kazi na masomo Msc Eng vinanibana but at least in a week tunaweza kupata 3 days for three hours sawa na masaa 9 kwa week, hii michezo itakupa nguvu mno, mno,
unaweza kumpiga mtu yeyote narudia yeyote kwa dakika 2 hadi 4 au 5 au unaweza kupigana na watu zaidi ya watatu at once wenye mazoezi na kuwagaragaza quickly, au kujihami nk
michezo hii inakujenga kisaikolojia na si lazima uwe flexible & tall labda kama mm ukiniona, la mtu wa umbo lolote anafit sana, meditation will transform you in another world of fighting, baada ya 3 months ukifanikiwa kuendelea na mazoezi, mtu hawezi kusimama mbele yako kwa mikono, dak 2-4 umeshamaliza mchezo saa nyingi, super fighters hawapigani muda mrefu hata siku moja labda akutane na super fighter mwingine like bruce Lee, ukimkosa atakimbia kama mbwa mwizi, hii ni muhimu si tu kwa kujihami pia kwa afya bora mazoezi muhimu. See you wapendwa

dah! mbona umelalia sana kwenye kuwezesha watu kupiga wengine?
ni vyema ungesisitiza kwenye kubadili mtu kuwa mwema zaidi katika jamii,
mvumilivu na uwezo wa kujilinda (ambayo ni tofauti na uwezo wa kumgaragaza
mpinzani ndani ya dakika 4)
 
wapendwa JF wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of January 2011
muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa Dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure
to train you free, Kung fu + kung fu meditation, karate, judo, kick boxing na taekwondo hii ni muhimu
sana, najua kazi na masomo Msc Eng vinanibana but at least in a week tunaweza kupata 3 days for three hours sawa na masaa 9 kwa week, hii michezo itakupa nguvu mno, mno,
unaweza kumpiga mtu yeyote narudia yeyote kwa dakika 2 hadi 4 au 5 au unaweza kupigana na watu zaidi ya watatu at once wenye mazoezi na kuwagaragaza quickly, au kujihami nk
michezo hii inakujenga kisaikolojia na si lazima uwe flexible & tall labda kama mm ukiniona, la mtu wa umbo lolote anafit sana, meditation will transform you in another world of fighting, baada ya 3 months ukifanikiwa kuendelea na mazoezi, mtu hawezi kusimama mbele yako kwa mikono, dak 2-4 umeshamaliza mchezo saa nyingi, super fighters hawapigani muda mrefu hata siku moja labda akutane na super fighter mwingine like bruce Lee, ukimkosa atakimbia kama mbwa mwizi, hii ni muhimu si tu kwa kujihami pia kwa afya bora mazoezi muhimu. See you wapendwa

Twamshukuru Allah.
Muda ndi unakaribia so ni maeneo gani?
Hivi Karate hujaeleza ni styles zipi utafundisha...!
Nataka nije niongeze kidogo rank.
Ila nmepata mkanda wa ***** katika Shotokan. Pia Judo.
 
wapendwa JF wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of January 2011
muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa Dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure
to train you free, Kung fu + kung fu meditation, karate, judo, kick boxing na taekwondo hii ni muhimu
sana, najua kazi na masomo Msc Eng vinanibana but at least in a week tunaweza kupata 3 days for three hours sawa na masaa 9 kwa week, hii michezo itakupa nguvu mno, mno,
unaweza kumpiga mtu yeyote narudia yeyote kwa dakika 2 hadi 4 au 5 au unaweza kupigana na watu zaidi ya watatu at once wenye mazoezi na kuwagaragaza quickly, au kujihami nk
michezo hii inakujenga kisaikolojia na si lazima uwe flexible & tall labda kama mm ukiniona, la mtu wa umbo lolote anafit sana, meditation will transform you in another world of fighting, baada ya 3 months ukifanikiwa kuendelea na mazoezi, mtu hawezi kusimama mbele yako kwa mikono, dak 2-4 umeshamaliza mchezo saa nyingi, super fighters hawapigani muda mrefu hata siku moja labda akutane na super fighter mwingine like bruce Lee, ukimkosa atakimbia kama mbwa mwizi, hii ni muhimu si tu kwa kujihami pia kwa afya bora mazoezi muhimu. See you wapendwa

Vipi mkuu huu mpango bado upo? mi nilishaanza mazoezi ya kukimbia ili niwe na Pumzi. I realy love it.
 
Nikikumbuka Ustaadhi Moody wa Msikiti wa jirani alivyokuwa akitufundisha Judo wala sitaki!
 
Aisee hii bonge la idea. I am so interested. Tafadhali naomba utuambie mapema ni lini utaanza haya mafunzo ili tuweze kujipanga na foleni za barabarani na kupanga muda wa kutoka huko tunapotoka hadi kufika panapostahili...!

Napenda sana hii kun fu sema naogopa sana mafunzo yake manake najua kuna kupiga msamba na mazoezi yake ni ya kuumiza sana. Je unauzoefu wa ku train watu ambao ni fresh? ambao hawajawahi hata kurusha teke moja?
 
Japo hajatuambia wapi kutakua school(Dojo)...
Usihofu...bila shaka hata jina lako limetulia...utaweza tu.
 
Lini tunaanza hii kitu?

images
 
wapendwa JF wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of January 2011
muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa Dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure
to train you free, Kung fu + kung fu meditation, karate, judo, kick boxing na taekwondo hii ni muhimu
...hii michezo itakupa nguvu mno, mno, unaweza kumpiga mtu yeyote narudia yeyote kwa dakika 2 hadi 4 au 5 au unaweza kupigana na watu zaidi ya watatu at once wenye mazoezi na kuwagaragaza quickly, au kujihami nk
michezo hii inakujenga kisaikolojia na si lazima uwe flexible & tall labda kama mm ukiniona, la mtu wa umbo lolote anafit sana, meditation will transform you in another world of fighting, baada ya 3 months ukifanikiwa kuendelea na mazoezi, mtu hawezi kusimama mbele yako kwa mikono, dak 2-4 umeshamaliza mchezo saa nyingi, super fighters hawapigani muda mrefu hata siku moja labda akutane na super fighter mwingine like bruce Lee, ukimkosa atakimbia kama mbwa mwizi, hii ni muhimu si tu kwa kujihami pia kwa afya bora mazoezi muhimu. See you wapendwa
Dah! Mkuu, unaonekana wewe mkali kushinda hata wale magwiji wa Kung fu na Karate, kina Bruce Lee, Jet Li, Jack Chan, na hata yule mkali wa Thai box Tony Ja umemshinda... Maana hawa magwiji wa Martial art, wao wame-speacilised kwenye aina moja tu ya sanaa ya mapigano, lakini wewe, umekusanya karibu sanaa 5 kama si sita, zikiwemo, kung fu, karate, Judo, kick boxing, taekwondo na hata ile hali ya kutafakari (meditation) wewe unajuwa namnai yake...!

Lakini mkuu hii michezo si tuna-practice for self-perfection and for self-defense and as a sport tu, au kazi yake kuingia mitaani na kudunda watu hata wakikanyaga vivuli vyetu?

Sawa mzee wa Kumite sasa una yudansha ya aina gani mkuu...!?

Lakini juwa kwamba walimu (Masters) wa hii michezo wanafundisha nidhamu ya hali ya juu sana... sensei Funakoshi yeye anasema hivi: "inwardly humble and outwardly gentle." and "indecisiveness is a weakness"
 
Ukifika tujulishe, kuna vitambi uzembe vya akina The Finest na wenzake lazima zitokomee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom