Niko tayari kufundisha Kung Fu, Judo, Karate, Taekwondo & Kick boxing muda ukiruhusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko tayari kufundisha Kung Fu, Judo, Karate, Taekwondo & Kick boxing muda ukiruhusu

Discussion in 'Sports' started by Wameiba Kura, Dec 15, 2010.

 1. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapendwa JF wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of January 2011
  muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa Dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure
  to train you free, Kung fu + kung fu meditation, karate, judo, kick boxing na taekwondo hii ni muhimu
  sana, najua kazi na masomo Msc Eng vinanibana but at least in a week tunaweza kupata 3 days for three hours sawa na masaa 9 kwa week, hii michezo itakupa nguvu mno, mno,
  unaweza kumpiga mtu yeyote narudia yeyote kwa dakika 2 hadi 4 au 5 au unaweza kupigana na watu zaidi ya watatu at once wenye mazoezi na kuwagaragaza quickly, au kujihami nk
  michezo hii inakujenga kisaikolojia na si lazima uwe flexible & tall labda kama mm ukiniona, la mtu wa umbo lolote anafit sana, meditation will transform you in another world of fighting, baada ya 3 months ukifanikiwa kuendelea na mazoezi, mtu hawezi kusimama mbele yako kwa mikono, dak 2-4 umeshamaliza mchezo saa nyingi, super fighters hawapigani muda mrefu hata siku moja labda akutane na super fighter mwingine like bruce Lee, ukimkosa atakimbia kama mbwa mwizi, hii ni muhimu si tu kwa kujihami pia kwa afya bora mazoezi muhimu. See you wapendwa
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mmmhh ningekuwa CUF ningelikutafuta! Kuna memba mmoja huyo anaitwa M Sugu anapenda karate
   
 3. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rev usijali hata mm ni CDM ila hata ww unaweza kujifunza age kama haija enda sana, ni muhimu sana kwa afya na ukakamavu. utakula msosi mara mbili ya hapo unaokula na bado mwili uko safi, no kitambi, no what
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  dojo ni wapi? niambie mi niko tayari
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  i real like the game...ila nimeanza kuwa na kitambi, si ntaumia sana kwa ajili ya hayo mazoezi?
   
 6. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  don't worry i will try to organize hapo End of Jan, sehemu hata open space Dar nafasi nyingi is matter of time, kuhusu kitambi, hata wale
  miungu wa shaolin temple wengine wana vitambi kidogo hasa wale wazee waliobobea kimazoezi, na ni wakali sana, ila kumbuka physical exercises ikikukamata
  vizuri kitambi kitaondoka kidogo kidogo au hata baadae ukiwa na kitambi kidogo kitakuwa cha mazoezi na utakuwa fit sana tu, na huta umia ni process kidogo kidogo then mwili wako wenyewe unaji tune stay connected
   
 7. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Umespecialize kwenye mchezo upi? Idadi unayotaja hapo inanipa shaka kama umefuzu vizuri. Nasema hayo kutokana na ninavyoielewa michezo hiyo kuhitaji uvumilivu.
  Anyway kama kutakuwa na malipo niko tayari kufundisha kung fu.Nimefikia ngazi ya ushu. Tumasiliane.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  napenda sana kurusha mateke ya juu juu, nadhani ndio hiyo kickboxing....ila nina kilo 93 nitaweza?
   
 9. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Preta kilo 93 kitu gani? Ndani ya mwezi mmoja ninaweza kukupunguzia kilo 23 kisha tuanze mazoezi rasmi.
  Usiwe na hofu juu ya uzito utatembea hewani kama Jet Li.
   
 10. D

  Derimto JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We Preta hizo kilo umeziongeza na nini? Maana kama mimi nina under 60 nilikubeba vile wewe utakuwa na ngapi?

  Nimeshawi kupitia mafunzo hayo kiwango fulani cha kawaida ila natamani kuendelea kujifunza siyo kuwaponda watu mtaani ni kwa ajili ya mazoezi na nidhamu zaidi
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  haiiyaaa.....93-23=70......70-30=40........hakyanani.....tunaanza lini? pleez say soon
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tatizo uliniangalia kwa upande......ungeniangalia kwa mbele ndio ungeelewa......kwanza nataka nianzie gym kwa Nguli, hichi kitambi sijui kinaletwa na nini na mbege nimeacha, then nipitie kwa Isaac ndio nimalizie kwa Wameiba Kura.....kwa hiyo nina safari ndefu kidogo
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  pole. kabla ya wote hao, anzia kwangu. mi ndio nafanyaga refresher's courses
   
 14. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Thanks Isaac for your interest na kukuona unajua at least what is Martial arts, hii michezo yote ni martial arts, na i am qualified & certificated BLACK BELT holder in Kung Fu & Taekwondo, na nipo ngazi ya mwisho in Mixed deluxe course ya karate, Judo ni mtaalum tangia form 5 in 2001, na mm nilianza hii martial arts tangia Arusha nikiwa form 2, hivi sasa nipo San Fransisco, CA, USA namalizia masomo narudi TZ mapema Jan, nilijifunza mchezo wa Kung fu as part time hapa USA na kupata Black belt ya Kung fu hapa, ila taekwondo nilimalizia China 2005 na ilinichukua miezi 2 tu hadi Black belt , mm pia nilikuwa the Vice president wa Taekwondo chama cha wanafunzi A-level 2002, so china ilinichukua muda mfupi tu na kumaliza, hivyo nipo safi kabisa, nazani Mungu akijalia kwa sbb pia nafanya kazi meanwhile nipo OUT hapo Dar, tutaonana with all my certificates na zawadi nyingi za martial arts tangia Sec schools hadi sasa. Then my skills in martial arts ww mwenyewe utasema YES, nina nguvu sana pia kutokana na umbo langu linanisaidia pia 6.8ft na 87kgs za mifupa na misuli ya mazoezi na nipo very very sharp & quick kama martial arts inavyotaka, nitajitahudi nifanikishe, ok
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa nimepiga sana karate pale msikiti wa mtambani..ntakuja kuongeza ujuzi usijali
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umri upi ni mzuri kufanya mazoezi hayo!!
   
 17. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  I am interested...tafadhali tujulishe mara ukianza,

  Nimewahi kufanya karate kidogo pale zanaki kwa marehemu sensei bomani sasa nataka kurudi shule tena.
   
 18. semango

  semango JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hii imetulia kaka, ukianza tuambie.tuko wengi so hiyo open space inabidi iwe kubwa.pia huwa inabidi kua na kibali cha kufanya hii michezo sehemu ya wazi so hopefully mambo yataenda kama yalivyopangwa
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hayo mafunzo yanaweza yakatolewa online?
   
 20. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #20
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Wanabodi hasa mlioko Tanzania ni vyema kujifunza mbinu za kujilinda, at least mtapunguza kazi za polisi kufukuzana na vibaka wanapokwapua pochi na vitu vidogo hasa akina dada.

  Mbinu za kujilinda siyo dhambi, iwapo nia siyo kutenda uhalifu.

  Nafasi ndo hiyo mwenye kuitaka aitumie vyema.
   
Loading...