Chilli
JF-Expert Member
- Jul 17, 2011
- 1,655
- 743
Baada ya kunyang'anywa kipenzi changu cha moyo Madame B na mkongoman Chimbuvu na baada ya mipango ya kujaribu ku win back penzi maridhawa la Madame B kushindikana, natangaza rasmi kwamba hivi sasa niko singo kama mtoto wa kifaru.
Hivyo basi, natangaza kwamba nafasi ipo wazi kwa yeyote yule ambaye atakua interested. Mimi ni kijana sio mzee kama Asprin, uwezo wa kati. Karibuni wote mtakaojisikia, sijali uzuri wala tabia as long as zinarekebishika.
Copy to: Baba V na kamati zake zote, Chimbuvu na familia yake, Loya rutta na maloya wote, cacico, Arushaone Bishanga sweetlady na wanakamati wote wa Mahusiano.

Last edited by a moderator: