Nashukuru kwa wishes zenu, nimefika salama wandugu!. . .
NNimeenda New Africa, nikitoka hapo nitaingia Le Grand, kisha Palm Beach, nan ntapotelea Sea Cliff au Kilimanjaro Casino, halafu baada ya masaa matatu ntakupa mara 20 zaidiAisee mbona hukuniambia mapema ndugu? Nishampa Bujibuji kasema ananiwekea.
Yan, joto mpaka kero, kuoga mara mbili mbili, vp bado uko yaeda?
Thats guda guda!
hizo hela umekuja nazo zote mgeni wangu? Tumekuandalia itinerary ya xmas na mwaka mupya baba, sweetlady mpe brief basi. Afu haya matangazo unataka Paw awe ananipangia muda wa kurudi home. Huna siri wewe, aaah!Sante kwa ushauri, what if niko na Cruiser ya DFP?
aje tu na atm, unga na dagaa wenyeji tutagharamia.Umekumbuka kubeba na Unga wako lakini,wana JF wa Dar full njaa hawakawii kukulaza kwa mlo mmoja wa kugombania kwa siku.....
aje tu na atm, unga na dagaa wenyeji tutagharamia.
hizo hela umekuja nazo zote mgeni wangu? Tumekuandalia itinerary ya xmas na mwaka mupya baba, sweetlady mpe brief basi. Afu haya matangazo unataka Paw awe ananipangia muda wa kurudi home. Huna siri wewe, aaah!
Nakutafutia chenji, nime win jackpot nimepewa noti za kigeni, sio hizo za elfu kumi kumi ulizozioeaNakungojea Bujibuji umepotelea wapi mwanawane?