Niko safarini kuja DSM.

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Goodmorning Chit-chatters, niko safarini kuja Dsm natokea huku porini nilikokua bhana, huku kusini, will be in dar 4 a week or two, Have a nice Sunday, love you all undoubtedly!. . .
 
Barua ya mjumbe wa nyumba 10' 10' umekuja nayo?
 
Kupitia kwa in english c/o jirani yake yule mwalimu wa sekondari.

aaah! umemwandikia utakaa siku ngapi na umekuja kwa shughuli zipi, je umekuja na barua huko utokapo, una kadi ya chama chetu..safari njema
 
Kiswahili bana! Unakuja Dar au unaenda Dar? Anyway, safari njema Mkuu!
 
Unaniletea zawadi gani!? bila zawadi nafuta hii meseji simpelekei mjumbe

Si unajua msimu wa mavuno ya korosho ndo umeishia hivyo, nisamehe, nimekuja na maembe dodo machache na maembe zungu.
 
Back
Top Bottom