Niko njia panda

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Nishaulini mwenzenu,kuna mdada nilikutana nae kama miez mitatu, minne hv 26yrs na mie nina 30 now, na kua na mahusiano ya kimapenz..sasa amekuja na jambo anasema anataka nimpe mimba.anapenda kuzaa na mm..na kwamba yy ana uwezo wa kulea..je nimpe?
 
Je una mpenda kweli maana na hisi ana taka kutumia mimba kama njia ya ndoa!

Kama unampenda kweli mpe hiyo mimba kwani hakuna tatizo!

Kama vip ikiingia uje kutwambia!
 
kama unampenda na uko tayari kuwa naye mpe,kama ni kumpa tu kwa vile amesema umpe itakuletea matatizo
 
think big hard and outside the box my brother,dont take that easy just because thats the the way it looks lyk.kuwa makini sana na vitu vinavyoonekana virahisi sana mwanzo
 
kiongozi kuwa mwangalifu sana na hawa dada zetu wanaokimbilia kutaka mimba haraka haraka. jiridhishe na tabia kwnza ya huyo mwanamke! wengine ukioa tu umekwisha, mwanamke ankuwa km amemeza radio, ni kelele mwaka mzima, demands kibao
 
donta fall into that trap,ndio kwanza mmekutana mwambie akupe muda umchunguze vizuri ukiridhia ndio umpe:wacko:
 
kama mnapenda kwann hampangi kuoana badala ya kupeana mimba kizinzi? Wazinzi wote sehemu yao ni kwenye ziwa la moto!
 
Hizo sperm ukizipeleka US/UK wenzio wanaziuza wewe wataka uzitoe bure?
 
Nishaulini mwenzenu,kuna mdada nilikutana nae kama miez mitatu, minne hv 26yrs na mie nina 30 now, na kua na mahusiano ya kimapenz..sasa amekuja na jambo anasema anataka nimpe mimba.anapenda kuzaa na mm..na kwamba yy ana uwezo wa kulea..je nimpe?
mpe kama unampenda ila kama huna future naye utaingia mkenge mana ni atakuganda huyo mpaka basi
 
Je anafanya kazi gani??
Asili yao ni wapi/ kabila gani??
Mmekutana ktk mazingira gani/wapi??
Tuanzie hapo.. Tunaweza pata pa kuanzia
 
kuna mdada 26yrs na mie nina 30 now,je nimpe?
kwa umri wenu sio jambo la kutaka ushauri wa kuzaa .mpe mimba kama inapatikana kwa urais kama kinyes cha ngombe machinjono mpe ujazo wa kilo tano na mtoto wako umuite jf.
 
Back
Top Bottom