Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

Ameen Himidini.... Muumba yuko mbele yangu ndio maana niko hapa nilipo. Nimemtanguliza kwa kila hatua niliyotaka kupiga mbele.
Asante kwa ushauri wako.

^^
Asante kwa kunielewa Da Asia basi kama ni hivyo,,nakukumbusha tu wapo wanaume wengi wenye hitaji kama lako,la msingi usiwakubali upesi upesi na ikibidi wawekee vizingiti mwanzoni ili uwapime.
Take my note:
Mwanamke anaeweza kufikia kiwango hicho cha mafanikio yanayoshinda wanaume wengi.. ANATAFUTWA KAMA DHAHABU.
Usimuweke Mungu wako pembeni
^^
 
Hakika.

Mtu unaoa unang'ang'ania kwenda kula jasho la mwanamke???

"Mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu''

Kweli ana haki ya kupenda, lakini kwa hali hiii, Anakaribisha majuto mengi sana nyumbani kwake.

May be nina tatizo na mimi, lakini akili hiyo ya kipumbavu ya huyu jamaa at least ningeisikia kutoka kwa under 18 ningejitahidi kumtetea hajakua bado, alkini over 40 bado akili ndio hiyo na kulalamika lalamika tu,,, kaaazi kweli kweli.

Well said mkuu!!!!
 
Sidhani kama anakupenda, kama kweli anakupenda angekuwa very proud to let the whole world know anakupenda, sa anacho ficha ni kitu gani.

ushauri wangu tafuta mwanaume mwenye uwezo kuliko wewe, hawa wenye njaa njaa utasumbua kichwa tu, siku njema.
 
Wana MMU hata cha kuwalipa sina ila mwenyezi mungu ndio atakayewalipa kwa nasaha zenu zilizokwenda shule. Hakuna hata mmoja ambaye amenishauri jambo likanikwaza, kwa kweli wote mmeongea kuonyesha wote ni wanafamilia ya MMU.
Nashukuru sana kwa hilo na muendelee hivyo.
Sasa basi kwa ufahamisho tu wapenzi, baada ya kumkalia kooni huyo shemeji yenu bandia kua uhusiano kwishnei na yeye hili neno hataki kulisikia, leo nina kikao nae joini, amekiomba yeye, eti atafunguka kunieleza background yake ambayo aliogopa kunieleza siku za nyuma kwa kudhani hatonipata.
Week end pia ameahidi kunitambulisha kwa wazazi wake ambao wote wako Dar.
Mtoto wake mmoja wa kiume ndio kasema ni simple atanitambulisha kwake kwanza kabla ya wale wakubwa wakike ambao anasema kitabia hawajakaa sawa, hivyo inabidi awaweke sawa kwanza kabla hajanikutanisha nao.
Lakini wapenzi naomba tu niwaambie, baada ya kusoma nasaha zenu wote zilizojaa busara, kuolewa na huyu mtu haipo tena, kwani nimeishi miaka yote hii bila mume, nimeharibikiwa na nini. Kama nitaridhika na maelezo yake tutaishi kama bf na gf that's all. Sitaki kesho nife halafu watoto wangu wapate tabu kwa sababu ya mtu ambaye mimi mwenyewe nimemleta kwenye familia ambaye kumekutana wakati umri umeshaenda awape tabu watoto wangu.
Kuna wengine wamesema labda hana kazi. Naomba niwahakikishie kua yuko kazini, na ofisi yake nimeshaenda mpaka boss wake na wafanyakazi wenzie baadhi nawafahamu kwani aliwahi kunialida kwenye function ya ofisini kwao. Hilo halina mjadala ila tatizo tu ni hizo jazba zake na kulazimisha ndoa ya kuishi kwangu, hapo ndio kuna utata.
Sijawahi kumpa msaada mkubwa sana wa kutisha zaidi ya mambo madogo madogo sana kwani nilishamuonyesha toka mwanzo kua mimi ni mwanamke na yeye ni mwanamme no matter what, hivyo a play roll zake kama baba anavyotakiwa.
hiyo kidogo ilimrudisha nyuma, hivyo kama alikua anategemea kupata chochote kwangu, alijua hakipo kwa sasa.
Naomba niwashukuru sana sana kwa ushauri wenu na sitasita kurudi tena kuwapa updates za kikao maana hili litakua fundisho si kwangu tu bali ni kwa wengine pia.
Asanteni na muwe na asubuhi njema....
 
...Da Asia.....umekuwa wazi mpaka raha.....but kwa umri wako huo,,, kwa kipindi cha 5 months,,, na K umempa, nyumbani tayari,,,mpaka kwenye kitanda yako mshaviringika!!!! pole mwaya....nashukuru mwenyewe umejitambua kuwa umekosea,,, na kama analalamika hana fedha,,, alikutongozaje huyooo? outing,,,dinner.. maana hayo ndo mahaba ya utu uzima..
ANYWAY...... kaa mbali na yy,, kila kitu anakudanganya, na uwe makini sana dada yangu asije akakudhuru,,,,tindikali ziko nje nje cku hz....akizidi mripoti polisi,,, hapo ngoma itafika mpaka kwa mkewe,,, akijua umeujua ukweli atakubali matokeo...

khila la kheri mpendwa....
 
Da Asia,

Nimekupm. In short this is very red alert , the most dangerous. A very close person in the family alipata mtu wa dizaini hii baada ya kuwa single (mjane) for 6 yrs .... what happened ni alitapeliwa kila kitu na mwishowe watoto wake (kama wako wamesoma nje) walimsema mama yao mbaya hadi akacommit suicide ..goodluck she was rescued.

Umefanya makosa sana kumwonyesha mali zako kabla yeye hajawa open.

Dada huyu mtu mkimbie sana na kama unaweza fanya inteligensia ya kutosha (talk to Police investogators hawa walipe pesa nzuri upate full data ) la sivyo huyo huyo unayemdhania ni life patner ndio atakuwa wa kwanza kukuletea majambazi nyumbani (im saying with experience)

Please Please Run away and take all safety precautions . huko site make sure haendi ng'o na home asije katu katu. Pia very important katika kuachana usimpe nafasi ya kujieleza , this is where he will take the chance to murder /destroy u. Please love life ,Love ur kids and family .Huyu ni Jambazi sugu

ushauri mzuri sana huu...nina imani atakua amekuelewa, kama mm nilivyokuelewa.
ahsante
 
Wana MMU hata cha kuwalipa sina ila mwenyezi mungu ndio atakayewalipa kwa nasaha zenu zilizokwenda shule. Hakuna hata mmoja ambaye amenishauri jambo likanikwaza, kwa kweli wote mmeongea kuonyesha wote ni wanafamilia ya MMU.
Nashukuru sana kwa hilo na muendelee hivyo.
Sasa basi kwa ufahamisho tu wapenzi, baada ya kumkalia kooni huyo shemeji yenu bandia kua uhusiano kwishnei na yeye hili neno hataki kulisikia, leo nina kikao nae joini, amekiomba yeye, eti atafunguka kunieleza background yake ambayo aliogopa kunieleza siku za nyuma kwa kudhani hatonipata.
Week end pia ameahidi kunitambulisha kwa wazazi wake ambao wote wako Dar.
Mtoto wake mmoja wa kiume ndio kasema ni simple atanitambulisha kwake kwanza kabla ya wale wakubwa wakike ambao anasema kitabia hawajakaa sawa, hivyo inabidi awaweke sawa kwanza kabla hajanikutanisha nao.
Lakini wapenzi naomba tu niwaambie, baada ya kusoma nasaha zenu wote zilizojaa busara, kuolewa na huyu mtu haipo tena, kwani nimeishi miaka yote hii bila mume, nimeharibikiwa na nini. Kama nitaridhika na maelezo yake tutaishi kama bf na gf that's all. Sitaki kesho nife halafu watoto wangu wapate tabu kwa sababu ya mtu ambaye mimi mwenyewe nimemleta kwenye familia ambaye kumekutana wakati umri umeshaenda awape tabu watoto wangu.
Kuna wengine wamesema labda hana kazi. Naomba niwahakikishie kua yuko kazini, na ofisi yake nimeshaenda mpaka boss wake na wafanyakazi wenzie baadhi nawafahamu kwani aliwahi kunialida kwenye function ya ofisini kwao. Hilo halina mjadala ila tatizo tu ni hizo jazba zake na kulazimisha ndoa ya kuishi kwangu, hapo ndio kuna utata.
Sijawahi kumpa msaada mkubwa sana wa kutisha zaidi ya mambo madogo madogo sana kwani nilishamuonyesha toka mwanzo kua mimi ni mwanamke na yeye ni mwanamme no matter what, hivyo a play roll zake kama baba anavyotakiwa.
hiyo kidogo ilimrudisha nyuma, hivyo kama alikua anategemea kupata chochote kwangu, alijua hakipo kwa sasa.
Naomba niwashukuru sana sana kwa ushauri wenu na sitasita kurudi tena kuwapa updates za kikao maana hili litakua fundisho si kwangu tu bali ni kwa wengine pia.
Asanteni na muwe na asubuhi njema....

asante, kila la heri huko..
tunasubiria updates...lols:smile-big::smile-big:
 
haingii akilini mtu mzima mwenye upendo kama anaodai anao,ashindwe kukupeleka kwake eti kisa tu,watoto wake hawatasapoti uhusiano wake mpya,
kwa nini wasiusapoti,
kwa nini wampangie baba yao cha kufanya wakati ni mtu mzima?
kwa nini akufiche usiwafahamu wanae,japo hata mmoja?
kwani watoto wake wapo home 24/7?
kwa nini asikupeleke tu ukapafahamu hata bila kutambulisha mahusiano yenu mbele za watoto anaodai anao?
kwa nini awe free zaidi nyumbani kwako na asiwe free sehemu nyingine yeyote?

nahisi

anaishi sehemu ambayo anadhani haina hadhi ya kukupeleka wewe ukapaone ( hajiamini)
ana mkewe na watoto wake na anaogopa utafahamu
 
Da Asia
Another thing I smell here is Incompatibility kati ya yeye na background yake na wewe. Imagine wanao umewakuza kwa maadili, have gone to some good school waje wamingle na rough kids of his? they may resent each other so much that you wont be at peace(umesema yeye kasema wanae hawana maadili) na samaki hakunjiki ukubwani.

In this meeting ya leo , please don' t show a sign of needing him but present yourself with highest mature mind, without forgeting to let you close people know where you are meeting. Please msimeet in a room --women are very weak kubembelezwa in closed doors. And this fellow has al signs of a conman isije hata hao parents are ghost ones , watch all the signs kuwa hao ni wazazi kweli au kawalipa wazee hapa mjini. Question them politely and judge .

Jinsi ulivyohangaika na maisha ulivyokuwa single ni wazi u need a patner to soothe your life, to console , to at least be able to buy some classy cologne and take you out ocassionally -- let it not be this specie please , umri huu ufokewe ? You deserve something better and I pray you get that.

Above all seek divine guidance from God
 
Shoga mwanaume anataka kukuchuna huyo,ili akaifaidishe kichuna chake dogodogo.
Take care
 
Da Asia naona hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbele yako! muongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo huyo. mwambie akukutanishe na wanawe!
 
Wana MMU hata cha kuwalipa sina ila mwenyezi mungu ndio atakayewalipa kwa nasaha zenu zilizokwenda shule. Hakuna hata mmoja ambaye amenishauri jambo likanikwaza, kwa kweli wote mmeongea kuonyesha wote ni wanafamilia ya MMU.
Nashukuru sana kwa hilo na muendelee hivyo.
Sasa basi kwa ufahamisho tu wapenzi, baada ya kumkalia kooni huyo shemeji yenu bandia kua uhusiano kwishnei na yeye hili neno hataki kulisikia, leo nina kikao nae joini, amekiomba yeye, eti atafunguka kunieleza background yake ambayo aliogopa kunieleza siku za nyuma kwa kudhani hatonipata.
Week end pia ameahidi kunitambulisha kwa wazazi wake ambao wote wako Dar.
Mtoto wake mmoja wa kiume ndio kasema ni simple atanitambulisha kwake kwanza kabla ya wale wakubwa wakike ambao anasema kitabia hawajakaa sawa, hivyo inabidi awaweke sawa kwanza kabla hajanikutanisha nao.
Lakini wapenzi naomba tu niwaambie, baada ya kusoma nasaha zenu wote zilizojaa busara, kuolewa na huyu mtu haipo tena, kwani nimeishi miaka yote hii bila mume, nimeharibikiwa na nini. Kama nitaridhika na maelezo yake tutaishi kama bf na gf that's all. Sitaki kesho nife halafu watoto wangu wapate tabu kwa sababu ya mtu ambaye mimi mwenyewe nimemleta kwenye familia ambaye kumekutana wakati umri umeshaenda awape tabu watoto wangu.
Kuna wengine wamesema labda hana kazi. Naomba niwahakikishie kua yuko kazini, na ofisi yake nimeshaenda mpaka boss wake na wafanyakazi wenzie baadhi nawafahamu kwani aliwahi kunialida kwenye function ya ofisini kwao. Hilo halina mjadala ila tatizo tu ni hizo jazba zake na kulazimisha ndoa ya kuishi kwangu, hapo ndio kuna utata.
Sijawahi kumpa msaada mkubwa sana wa kutisha zaidi ya mambo madogo madogo sana kwani nilishamuonyesha toka mwanzo kua mimi ni mwanamke na yeye ni mwanamme no matter what, hivyo a play roll zake kama baba anavyotakiwa.
hiyo kidogo ilimrudisha nyuma, hivyo kama alikua anategemea kupata chochote kwangu, alijua hakipo kwa sasa.
Naomba niwashukuru sana sana kwa ushauri wenu na sitasita kurudi tena kuwapa updates za kikao maana hili litakua fundisho si kwangu tu bali ni kwa wengine pia.
Asanteni na muwe na asubuhi njema....

woord! hapo bold.
lakin pia hadi maelezo yawe yameshiba mnoo vinginevyo fukuzia mbali na maisha yako huyoo mariooo dada yangu .
 
mimi49 am not that desperate, ila mimi ni binadamu pia. nahitaji kampani. Ingekua watoto wangu wapo wala nisingehangaika. Ila kua na mwenzio hata ukiumwa yupo ni jambo jema. hata mungu alimuumba Adam akaona asiishi mwenyewe akampa Eve. Sasa kwanini mimi niwe mwenyewe. But am not that desperate, I can manage on my own.
Asante kwa ushauri mzuri, nitaufanyia kazi. Thanks and be blessed...
Mpendwa..Sorry kukuambia ulidandia dala dala kwa mbele "wrong selection" with respect kazi utakayoifanya sasa ni kubreak the relation...(all the means) hata kama ana familiya tumia tishio hilo kwake !!Halafu usiwe na haraka au kiherehere kwa Wanaume sisi ni maFox!! hilo liwe somo kwako... Ushajijua na utibu weakness zako, Good luck na makazi mema.
 
Da Asia wake up...naona umelala vile...if ingekua mambo ya no stings attached sawa ila huyo anataka umuoe...yes i got it right ANATAKA AOLEWE...
 
Last edited by a moderator:
da asia wala usijali wewe una maisha yako na ni haki yako kuwa na mipango yako jinsi upendavo kwa wakati wako.. ukiamua kuolewa ..ukiamua kujenga ukiamua kununua gari zote ni haki zako as long huvunji sheria za nchi! so kwangu mimi sioni ubaya wewe kuamua kuwa na mwenzake sema tu ni bahati mbaya umeingia choo cha shetani ila as long umeshtuka mapema shukuru mungu kwa hilo kimbia hata uchi na nguo mkononi kama yule mwanafunzi wa yesu! hapo ni hatari zaidi ya hatari yenyewe mamiii

Hata mimi nimeona alama ya danger!!
Wanaume wa siku hizi kama mabinti!!!!
Ujanja ujanja tuuu!
 
Ni maelezo yenye kubeba ukweli! ila nakushauri hivi, chunga usigeuzwe daraja la mtu mvivu kuishi kwa starehe!
Samahani ndugu yangu hata sielewi unaongelea nini?Unamwambia Da Asia au?Mimi sipo na mtu na sihitaji mtu nimpe chochote mwanaume wa ukweli anajitegemea tumeelewana!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii story inataka kuniliza...kwa nini nimeifungua daaaaaaa!!!!inauma sana!!!!!!!! Kwa niniiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!?????? Sipendi kufikiria kuhusu haya mambo aiseeeeeee!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom