We ukiona ushaanza kupata njia panda na safari ndio imeanza,huko mbele lazima upotee tu. Rudi nyuma,anza upya na njia nyingineUnawekewa mashart na single mother? Ungekua karibu ningekunasa kofi la machoni.
Mtaani kuna mabint wazuri tu wamejitunza na wanahitaji kuwekwa ndani we unataka uoe engine iliyofunguliwa, umeniharibia asubuh yangu.
Najisikia vibaya sijafanikiwa kukunasa vibao machoni
Unawekewa mashart na single mother? Ungekua karibu ningekunasa kofi la machoni.
Mtaani kuna mabint wazuri tu wamejitunza na wanahitaji kuwekwa ndani we unataka uoe engine iliyofunguliwa, umeniharibia asubuh yangu.
Najisikia vibaya sijafanikiwa kukunasa vibao machoni
Naona binamu umetoa la moyonRamli chonganishi
Kwanza huyo mpenzi wako hakupendi na amemkumbuka baba wa mtoto wake na huenda wameanza mawasiliano ya kujenga penzi lao
Hivyo kaona mbinu ya kuachana na wewe kwa amani ni kushinikiza uwambie wazazi wako juu ya mtoto aliyenaye.
Imani yake ni kuwa wazazi wako hawatokubari hivyo utakuwa umebariki safari njema juu yake.
Mama yake hawezi shinikiza juu ya hulo bali hayo ni mawazo yake tu ama ya marafik zake ili afanikishe wazo lake.
Kama kweli hilo ni wazo la mama yake bas huyo mama yake ndo hayataki mahusiano yenu basi ye kaona kete ya kushinda ni hiyo ya mtoto
Ndaza mkuu nyama iliyolala buchani au nyama ya janaaKuna wengine huita wanawake wa hivyo kuwa ni "ndaza' sijui wanamaanisha nini?
Ni ramli chonganishi binamNaona binamu umetoa la moyon
Daah mkuu una mapenzi ya dhati sana kwa huyo binti na inaonekana binti amekusoma kuwa ubampenda sanaHabari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu,
Ila kipindi naanza naye mahusiano aliniambia Ana mtoto anaishi na Bibi, yaan mama yake msichana. Tukaendelea na mahusiano. Kadri nilivyokaa naye naona anafaa kabisa, niwe mkweli. Nikasema nyumbani kuwa nina mchumba wakafurahi, lakin nikihofia wakijua Ana mtoto nitakataliwa.
Baada ya kushibana kabisa nikaamua tuandae mshenga kwa ajili ya kwenda kusema. Akaniuliza kuwa lakin kwenu uliwaeleza kuwa nina mtoto. Nikasema hapana na mtoto wako ni kama wangu istoshe yuko kwa bibi huko tutamtunza tu kwa kuyatuma matumizi na ada ya shule akakubali
Tatizo likaja alipomweleza mama yake kakataa kata kata kwamba lazima mshenga aambiwe kuwa ana mtoto na akasema kwamba kwanza ameahirisha hataki kusikia habari za mshenga wala mgeni yeyote maana kashamchefua tiyari.
Binti akanirudia akiwa na machungu kwamba mama kakataa kasema tutashindwaje kusema kuwa ana mtoto? Pili Binti alimuelezea kuwa nimeshamshawishi kaacha kazi jambo ambalo ni kweli na nimempa mtaji wa 10M aanze biashara yake, lakin pamoja na hiyo mama kakataa
Binti kanipa mtihan kuwa niwaeleze sasa wazazi wangu ukweli na nirekodi wakati wa mazungumzo ajiridhishe kama ni ukweli. Pia kama sitafanya hivyo yeye anafuata familia yake inasemaje, na anasema kwamba anirudishie kila nilichompa aanze upya maisha huku akilia
Naombeni ushauri tunafanyaje, sitaki kwetu wajue , na ukizingatia tumeshaweka malengo makubwa
MKUU wala hiyo sio sababu, inategemea namna walivopendana... Binafsi nilishawahi kunasa kwa mtu aliyezaa pamoja na ukitombile wangu wote lakini pale nikawa sisikii la mtuNimeamini hakuna UKIMWI pamoja na haya yote eti bado niko negative!!!!!! - JamiiForums
Hebu check mtu anaedai kuwa kawapitia wanawake wengi, anasumbuliwa na single mama.
NakubalNi ramli chonganishi binam
Anaeoa ni weeeHabari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu,
Ila kipindi naanza naye mahusiano aliniambia Ana mtoto anaishi na Bibi, yaan mama yake msichana. Tukaendelea na mahusiano. Kadri nilivyokaa naye naona anafaa kabisa, niwe mkweli. Nikasema nyumbani kuwa nina mchumba wakafurahi, lakin nikihofia wakijua Ana mtoto nitakataliwa.
Baada ya kushibana kabisa nikaamua tuandae mshenga kwa ajili ya kwenda kusema. Akaniuliza kuwa lakin kwenu uliwaeleza kuwa nina mtoto. Nikasema hapana na mtoto wako ni kama wangu istoshe yuko kwa bibi huko tutamtunza tu kwa kuyatuma matumizi na ada ya shule akakubali
Tatizo likaja alipomweleza mama yake kakataa kata kata kwamba lazima mshenga aambiwe kuwa ana mtoto na akasema kwamba kwanza ameahirisha hataki kusikia habari za mshenga wala mgeni yeyote maana kashamchefua tiyari.
Binti akanirudia akiwa na machungu kwamba mama kakataa kasema tutashindwaje kusema kuwa ana mtoto? Pili Binti alimuelezea kuwa nimeshamshawishi kaacha kazi jambo ambalo ni kweli na nimempa mtaji wa 10M aanze biashara yake, lakin pamoja na hiyo mama kakataa
Binti kanipa mtihan kuwa niwaeleze sasa wazazi wangu ukweli na nirekodi wakati wa mazungumzo ajiridhishe kama ni ukweli. Pia kama sitafanya hivyo yeye anafuata familia yake inasemaje, na anasema kwamba anirudishie kila nilichompa aanze upya maisha huku akilia
Naombeni ushauri tunafanyaje, sitaki kwetu wajue , na ukizingatia tumeshaweka malengo makubwa
uamuzi ni wako , wazazi hawaingilii maisha yako ila ujue kuna siku mke wako atakuwa na mazungumzo ya faraga na mzazi mwenzieHabari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu,
Ila kipindi naanza naye mahusiano aliniambia Ana mtoto anaishi na Bibi, yaan mama yake msichana. Tukaendelea na mahusiano. Kadri nilivyokaa naye naona anafaa kabisa, niwe mkweli. Nikasema nyumbani kuwa nina mchumba wakafurahi, lakin nikihofia wakijua Ana mtoto nitakataliwa.
Baada ya kushibana kabisa nikaamua tuandae mshenga kwa ajili ya kwenda kusema. Akaniuliza kuwa lakin kwenu uliwaeleza kuwa nina mtoto. Nikasema hapana na mtoto wako ni kama wangu istoshe yuko kwa bibi huko tutamtunza tu kwa kuyatuma matumizi na ada ya shule akakubali
Tatizo likaja alipomweleza mama yake kakataa kata kata kwamba lazima mshenga aambiwe kuwa ana mtoto na akasema kwamba kwanza ameahirisha hataki kusikia habari za mshenga wala mgeni yeyote maana kashamchefua tiyari.
Binti akanirudia akiwa na machungu kwamba mama kakataa kasema tutashindwaje kusema kuwa ana mtoto? Pili Binti alimuelezea kuwa nimeshamshawishi kaacha kazi jambo ambalo ni kweli na nimempa mtaji wa 10M aanze biashara yake, lakin pamoja na hiyo mama kakataa
Binti kanipa mtihan kuwa niwaeleze sasa wazazi wangu ukweli na nirekodi wakati wa mazungumzo ajiridhishe kama ni ukweli. Pia kama sitafanya hivyo yeye anafuata familia yake inasemaje, na anasema kwamba anirudishie kila nilichompa aanze upya maisha huku akilia
Naombeni ushauri tunafanyaje, sitaki kwetu wajue , na ukizingatia tumeshaweka malengo makubwa
Habari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu,