Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 7,731
- Thread starter
- #41
asante mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kazi.Kwa kizazi cha leo cha dot com ukimpata binti kama huyu ni lazima umpongeze kabisa!! You know what hakutaka kuchanganya mapenzi na shule na ndiyo maana always ni top ten. Na anajua fika atafaulu kidato cha sita ambao ndo msingi wa kwenda chuo chochote nje na ndani ya nchi. Mpe jibu positive ili asiharibu masomo. Ila pia weigh out kama unampenda kuliko uliye naye na kama hujampa promise ya ndoa ni bora umpende huyu ambaye mmeanza longtime ago. Nafikiri naye alikuwa anakupima ukweli wako. She will make a very good wife and mother for your kids, believe me. Ila finale ni kwako, uko matured na uwezo wa ku-make last card unao!! Amua