Niko Mwanza nimepoteza namba zako kwa ajili ya nafasi ya kujitolea information technology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko Mwanza nimepoteza namba zako kwa ajili ya nafasi ya kujitolea information technology

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Gamba Manoni, May 26, 2011.

 1. G

  Gamba Manoni Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kaka Sam nilipotelewa simu ikiwa na namba yako, baada ya kuahidiana kuja Mwanza kujitolea kwa nafasi ya information technology. Hivyo ukisoma thead hii tafadhali nijulishe.
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  KAKA GAMBA NAKUTAFUTA SANA.....UNAKUMBUKA ULINIAMBIA UNAKUJA TABORA MWEZ 4 tarehe 10?Nilikusubir sana ila sikukuona.Sasa nipo tabora ila next week ntakua DAR.kama inawezekana niambie nijue tutaonana vp ili nipate PROGRAMS MBALIMBALI.
   
 3. G

  Gamba Manoni Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nilipita hapo ila wewe ni moja kati ya wale nilopoteza 4n number, kama vp nipe mail add yako niku uploadie.
   
 4. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka SAM niko @New York, USA nafungua tawi la chama! Ukiwasiliana na katibu njoo na kadi
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mtumie PM na email yako hata kama hatasoma thread hii akilogin ataipata
   
Loading...