Yaani mangi umeamua kujilipua kabisa kabisa? hii kali!Pole Sweetbaby! Ni vema kujichanganya na kumbuka kujichanganya si mpaka uende Disco usiku mpaka asubuhi au Baa. Kuna Vikundi wa Kidini (Kwaya, Fellowship, timu za mpira) zote hizo ni namna nzuri ya kujichanganya. Unaishi mkoa gani? I wish tuwasiliane zaidi. Mimi Frank Temu E-mail:franktemu123@yahoo.co.uk Simu 0759 333178
kabila gani wana tabia ya kujisifu?sweetie, umesema we ni mchagga?
wachagga hatuna tabia ya kujisifu.. kwamba mi mzuri, ninapanga nyumba nzima, nina gari, nk ivo hatusemagi. we ungesema 2 tatizo moja kwa moja
mh! Hata ushauri sikupi due to your ubaguzijamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?
Since unataka mwenyewe kuwa peke yako, swali linakuja.....yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote
Wahaya..,,kabila gani wana tabia ya kujisifu?
Kawaida kabisa kwa mtu mwenye IQ kubwa. Usiishi maisha ambayo sio yako eti ili uonekane we mjanja. Utaishia kuwa mnafiki tu.Jamani wanajamii wenzangu,
Embu nisaidieni mawazo.
Mimi ni binti wa miaka 34 very attractive, nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri. Tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu na mimi sio mtu wa kujichanganya sana, baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.
Tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl, siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake, hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo, weekend natoka kuosha gari na kusali tu,bat list JamiiForums is my near friend and Jesus whom i talk to everytime.
Je, hii hali ni ya kawaida, nifanye nini?