Niko full,nina jambia la kuchunjia chama mwezi wa kumi

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Niko ful,nimejiandaa,niko tayari kwa mapambano. Silaha ya mnyonge imepatikana,sio nyingine bali ni ile ya kupigia kura. Mimi naiita jambia,lazima mtu aumie awamu hii lazima achinjwe mtu awamu hii. Si mwingine,chama cha kijani lazima kife,ndo silaha yangu hii..
Nendeni mkajiandikisheee..
 
Back
Top Bottom