stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,750
Mimi ni kijana around 30yrs kuna Binti mmoja naDate nae for 3ys now tokea ye yupo chuo mwaka wa kwanza hadi anamaliza,sasa imefikia kipindi nahitaji kumuoa kwa kweli ukizingatia tupo dini moja na nampenda na ananipenda pia.
Sasa ishu inakuja hivi,,jinsi nilivyompata huyo Binti ni Left foot kwamba nilimkuta na mtu wake wapo kwenye mahusiano na yeye aliniambia ukweli wote kuwa ana mtu wametoka mbali na kamsaidia mambo mengi tokea anasoma chuo(jamaa alikuwa anafanya kazi kipindi hicho anasoma) kama ujuavyo tena Wanaume hatukubali kushindwa nikaomba walau urafiki tu, tukaanza outing za hapa na pale mwisho wa siku Automatic tukajikuta wapenzi na kulila lile tunda. Binti akawa anatuchanganya mi na jamaa ila mimi najua mchezo mzima ye jamaa hajui lolote lile hadi sasa hivi kwa muda wa miaka mi3. Na Binti anataka nimuoe maana jamaa hajawahi kumgusia hilo neno hata siku moja pia wapo tofauti dini zao jamaa ye ni Muislam.
Mosi, sasa wasiwasi wangu ni huu jinsi nilivyompata huyu Binti na ukizingatia bado ana mahusiano na sisi wote na alishaniambia ye yupo tayari kumuacha jamaa kama nikiwa tayari kumuoa.
Pili, Inaelekea Binti bado anampenda kiasi flani jamaa hasa alivyomsaidia kipindi hicho anasoma.
SERIOUS hii ishu naomba utani pembeni. Mwerevu hupimwa na majibu yake Mjinga nae hupimwa kwa majibu yake sasa ili usionekane mjinga kama huna cha kunisaidia ni bora ukawa msomaji tu.