Nikiyasikia haya maneno nahisi kutapika... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikiyasikia haya maneno nahisi kutapika...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Mar 2, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  1. ''JK-KIKWETE''
  2. ''UDINI''
  3. ''....TAARIFA ZA KI-INTELIGENSIA''

  Haya maneno yakitatajwa haswa na viongozi wa juu wa serikali najisikia vibaya..siku moja nusu nitapike....

  Mnaweza ongezea maneno yenu...........!!
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Pole kwa kutapika mara kwa mara!
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mimi sitaki/siwezi/sivumilii kumsikiliza JK live au recorded,huwa nasoma hotuba yake hapa JF na Mwanainchi.
   
Loading...