Nikiwa Rais 2020 nitafanya haya

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,441
Mada tajwa yahusika
Sitaki povu hapa
Ila nasema yafuatayo

Nkiwa Rais 2020 ntahakikisha chama cha CCM nakifuta katika ramani ya dunia na Tanzania coz hiki ni chama ambacho kimetusababishia umaskini Watanzania tangu 1977 kilipoundwa

2020 ntahakikisha Bunge linatoa vipengele vya viongozi kutoshtakiwa nta mmshtaki marais wa awamu ya 3,4, 5 washtakiwe Kwa kusaini mikataba mibovu ya kutuibia rasilimali zetu ,awa wa awamu ya 3,4 walisaini mikataba mibovu ya madini chini ya mawaziri wao wa wizara na huyu wa awamu ya Tano alinunua ndege kimya kimya ambazo ni mbovu hazina kiwango ikiwemo bombardier q 400 ambayo ilikaa miezi kadhaa bila kufanya kazi na Boeing dreamliner TERRIBLE TEEN ,Wabunge wakaa kimya
2020 ntahitaji Bunge lipitishe Katiba mpya ya umma ambayo:-

Itatoa kinga ya kutoshtakiwa Kwa viongozi
Kunyonga viongozi wote wa umma waliohujumu uchumi wa nchi
Kuleta tume huru ya uchaguzi

Mikataba yote ya rasilimali za nchi Kuwa wazi ijadiliwe na Bunge na wananchi mtaani
Kuwapa mamlaka ya kikatiba wananchi kuwafukuza wabunge vilaza na kuwafunga jela kifungo cha maisha kwa uzembe na hasara walioiingizia nchi

Kuweka kipaumbele kwenye elimu Kwa kuwaajiri walimu wa Sanaa na sayansi Kwa sababu dunia nzima inahitaji wataalamu wa kuburudisha ( music,comedy,health, astronomy etc) so ntaajiri wote wakidhi matakwa ya nchi yangu

TOA MAWAZO YAKO MENGINE NTAKAYOYATUMIA 2020 NKIWA RAISI
 
Ungekuwa Rais kweli nchi ingegeuka jela ya wazi, hawa ccm kila mmoja anatamani wafutike kwenye uso wa dunia ila watakusumbua kweli kuwafuta.

Unachotajiwa kukifanya kikubwa ni kutuletea katiba katili ambayo utaipitisha mwenyewe bila ushiriki wa ccm hapo utawaweza ila ukijipendekeza kuipeleka bungeni tu basi hivyo vipengele ccm wana aleji navyo.

Hebu fikiria upeleke katiba inayotaka kila mbunge awe na elimu angalau kidato cha nne, Kina Msukuma, Lusinde, Prof Maji na wajumbe wawe kina Bashite unafikiri rasimu yako itakuwa salama tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom