Nikiwa nakopi data huku nasikiliza muziki,inakoroma!! Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikiwa nakopi data huku nasikiliza muziki,inakoroma!! Msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Deejay nasmile, May 24, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Pc yangu ina tatizo la kuwa nzito kiasi kwamba nikiwa na copy data kutoka hapa kwenda pale na wakati huohuo nimeplay muziki,basi mziki utaanza kuimba kwa kuvutaa aka kukoroma.Tatizo ni nini.Nimejaribu kuweka os nyingne ila bdo.
   
Loading...