Nikiwa na 9m naweza pata harrier?

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,930
2,397
nina m 9 nataka harrier yenye 2000cc yenye hali nzuri, ninaweza pata au nijipange upya? ntashukuru kwa ushauri wenu
 
Ameuliza ushauri msianze kumshambulia..ila hizo mkuu hazitoshi
 
nina m 9 nataka harrier yenye 2000cc yenye hali nzuri, ninaweza pata au nijipange upya? ntashukuru kwa ushauri wenu

Utapata kimeo hiyo pesa bora ukamate 109 land Rover itakusaidia hata kufika kijijini
 
Mtu kasema anataka harrier we unamwambia land rover wapi na wapi
 
Hamna harrier ya chini ya CC 2200!
Bei yako ya m9 either upate used kwa mtu iliyopata ajali cuz kodi ya kuimport harrier yenyewe inazidi hiyo m9
 
Noah ya 2001/2002 14m mpaka 13m, hiyo harrier inarange 18m-23m show rooms (brand new second hand)
 
nina m 9 nataka harrier yenye 2000cc yenye hali nzuri, ninaweza pata au nijipange upya? ntashukuru kwa ushauri wenu

mkuu..hakuna harrier ya CC 2000, minimum ni cc 2500 kwenda juu na hata kama ingekuwepo si kwa m 9.
kwa ushauri kama ulivyosema, jipange upya man!
 
Goldman, hizo m9 sana sana unaweza kupata Escudo ya milango 3. Hapo hujalipa kodi ikiwa umeagiza kutoka Japan.
 
akhsante kwa ushauri wenu kweli inabidi nijipange upya, nadhani niko half way.
 
Nadhani jamaa hataki za kwenye yard ndo maana anaomba msaada kama kuna ga-muntu anauza yake kwa bei hiyo, ajulishwe. Kumrudisha yard haina maana.

Kifupi tu ni kwamba kama una pesa za manati kuinunua siyo ishu, kimbembe ni jinsi ya kuimaintain! Ushauri, tafuta gari ya chini ya CC2000 zenye spare za bei nafuu ndani ya nchi.
 
Hamna harrier ya chini ya CC 2200!
Bei yako ya m9 either upate used kwa mtu iliyopata ajali cuz kodi ya kuimport harrier yenyewe inazidi hiyo m9

Zipo nyingi mkuu za 2160, nadhani bado una mawenge wenge ya Igunga.
 
mkuu..hakuna harrier ya CC 2000, minimum ni cc 2500 kwenda juu na hata kama ingekuwepo si kwa m 9.
kwa ushauri kama ulivyosema, jipange upya man!

red and bolded: Mhhhhhh, hapa sasa ndo nnapokumbuka ile story ya Kikwete ya akili za kuambiwa changanya na zako, walaaah tena!
 
Wewe kweli kilaza!
2160 ndio equivalent to 2200!
Kama kuna lenye chini ya hapo nijukishe

Red and bolded: Hahahaaaaa! We bado kabisa wewe, si unaona sasa akili inarudi taratibu. Teteteteeee, Adavnced Diploma=Master's degree au Advanced Diploma is equivalent to Master's degree. Bado kidogo akili itarudi tu, Mungu yupo.
 
Hamna harrier ya chini ya CC 2200!
Bei yako ya m9 either upate used kwa mtu iliyopata ajali cuz kodi ya kuimport harrier yenyewe inazidi hiyo m9

Wewe kweli kilaza!
2160 ndio equivalent to 2200!
Kama kuna lenye chini ya hapo nijukishe

Mungu jalia ajue kuongea kama binadamu wengine wa kawaida! mweee!
 
Red and bolded: Hahahaaaaa! We bado kabisa wewe, si unaona sasa akili inarudi taratibu. Teteteteeee, Adavnced Diploma=Master's degree au Advanced Diploma is equivalent to Master's degree. Bado kidogo akili itarudi tu, Mungu yupo.
Hujui unachokiandika..naona unajichekesha tu mbele ya wanaume!
Ukitaka kujua magari nitafute nukupe somo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom