Nikiwa mdogo nilisikia watu wakisema 'Sina hata mia' nikadhani wanatania. Kumbe ni kweli hii kitu ipo

Ukijiunga na magaidi watu wanaanza kukuona hufai!

Mtu akifanya jambo Fulani usimuone hafai, shukuru zito halijakupata kwa kiwango chake
 
Back
Top Bottom