Nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 nitaweza kusimama?

Unafahamu kuendesha gari kweli?

Kama upo mamba tano, shuka weka mamba 4, 3, 2, then 1. Gari itakuwa inapunguza mwendo.

Huwezi kutoka 5 ukarukia 3 au 3 ukaenda 1.

Pia huwezi toka moja ukaenda 3.

Halafu udereva raha yake ufundishwe na anayejua na uwepo ndani ya gari na ufanye anavyokuelekeza.

Gari ni rahisi sana kuliko pikipiki na baiskeli
NAdhani huyu ni mmoja wa madereva wa automatic transmission. So ukimwambia maswala ya kupangua gia anaona kama kizungumti hivi
 
NAdhani huyu ni mmoja wa madereva wa automatic transmission. So ukimwambia maswala ya kupangua gia anaona kama kizungumti hivi

Ninahisi.

Inatakiwa awe karibu na mtu amfundishe sivyo anaweza kuua gear box au akapata ajali.

Na siku hizi wanafunzi wengi wa udereva ni wanawake, na wengi hawataki kufundishiwa gari ya manual, wanataka automatic
 
kama huwez pangua gia haraka just shika brake but Neva use clutch here gari litakuwa free just kanyaga brake tu ukihisi linazma ndo ukanyage clutch
 
Unafahamu kuendesha gari kweli?

Kama upo mamba tano, shuka weka mamba 4, 3, 2, then 1. Gari itakuwa inapunguza mwendo.

Huwezi kutoka 5 ukarukia 3 au 3 ukaenda 1.

Pia huwezi toka moja ukaenda 3.

Halafu udereva raha yake ufundishwe na anayejua na uwepo ndani ya gari na ufanye anavyokuelekeza.

Gari ni rahisi sana kuliko pikipiki na baiskeli
Mzee gari gani hio mimi naweza vuta kutoka moja hadi tatu na hakuna tatizo
 
Huna haja ya kuweka free, ukishasimama toa 5 weka 1, japokuwa wanashauri utoke 5 uende 3 kisha 1.

Kupangua gia ni vizuri kwa sababu inasaidia kupunguza mzunguko wa Engine yaani Revolution.

Unapokuwa namba 5 engine huwa ipo kwenye mzunguko mkubwa, sasa ukitoka tano na kuruka kwenda 1 ni kama ule mzunguko unakuwa umeisimamisha ghafla, ndio maana nikakwambia piston inaweza kutokea mbavuni.

Mbona unaandika vice versa ...kwamba ukiwa no 5 engine inazunguka sana kuliko ukiwa no 1 ....🤔🤔 Kupangua gia hakupunguzi mizunguko ya engine bali kila ukipangua engine rpms zinapanda na ule mlio wà kuvuma unausikia

Na kusimama kwe emergency kama huezi pangua gia we dili na brake tu usikanyage clutch kabisa maana ndo utafanya gari liserereke vizur
 
Wewe ni DEREVA kweli mbona unauliza maswali ya kitoto sana??.
 
Alafu narudi namba moja
Utarudi namba moja au mbili na ukaondokea hiyo kutegemeana na uzima wa gari... kama hukusimama au ulikiwa kwenye mwendo pungufu ya mwanzo, itarudi kwenye gia iliyo proportional na mwendo husika kuzuia engine breaking
 
Back
Top Bottom