Chacho Haulage
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 234
- 205
Usimwelewe vibaya mkuu kuna mtu anahitaji theory tu practical atafanya mwenyewe
Unajua kuendesha gari?
Maswali gani haya..duh
Unajua kuendesha gari?
Maswali gani haya..duh
Mimi naishi maeneo ya Tegeta, nimeshuhudia ajali nyingi za hayo magari yakiteremka mlima wa wazo.Ni kweli kabisa, ila umeniacha hoi hapo kwenye za cement! Kwahiyo wabeba cement wajue wanaendesha mikweche
Naomba mnifahamishe nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 alafu natakiwa nisimame umbali ambao sitaweza kupangua gear hadi kufika namba moja je nitafanyaje?
Msaada wenu tafadhali
NAdhani huyu ni mmoja wa madereva wa automatic transmission. So ukimwambia maswala ya kupangua gia anaona kama kizungumti hiviUnafahamu kuendesha gari kweli?
Kama upo mamba tano, shuka weka mamba 4, 3, 2, then 1. Gari itakuwa inapunguza mwendo.
Huwezi kutoka 5 ukarukia 3 au 3 ukaenda 1.
Pia huwezi toka moja ukaenda 3.
Halafu udereva raha yake ufundishwe na anayejua na uwepo ndani ya gari na ufanye anavyokuelekeza.
Gari ni rahisi sana kuliko pikipiki na baiskeli
NAdhani huyu ni mmoja wa madereva wa automatic transmission. So ukimwambia maswala ya kupangua gia anaona kama kizungumti hivi
Mzee gari gani hio mimi naweza vuta kutoka moja hadi tatu na hakuna tatizoUnafahamu kuendesha gari kweli?
Kama upo mamba tano, shuka weka mamba 4, 3, 2, then 1. Gari itakuwa inapunguza mwendo.
Huwezi kutoka 5 ukarukia 3 au 3 ukaenda 1.
Pia huwezi toka moja ukaenda 3.
Halafu udereva raha yake ufundishwe na anayejua na uwepo ndani ya gari na ufanye anavyokuelekeza.
Gari ni rahisi sana kuliko pikipiki na baiskeli
Mzee gari gani hio mimi naweza vuta kutoka moja hadi tatu na hakuna tatizo
angeleezea vizuri ukikanyaga zote mkuu hapo hakuna kusimama kitu ni straight mpaka boomAtakuwa ana maana nyingine huyo, muulize vizuri
Huna haja ya kuweka free, ukishasimama toa 5 weka 1, japokuwa wanashauri utoke 5 uende 3 kisha 1.
Kupangua gia ni vizuri kwa sababu inasaidia kupunguza mzunguko wa Engine yaani Revolution.
Unapokuwa namba 5 engine huwa ipo kwenye mzunguko mkubwa, sasa ukitoka tano na kuruka kwenda 1 ni kama ule mzunguko unakuwa umeisimamisha ghafla, ndio maana nikakwambia piston inaweza kutokea mbavuni.
Wewe hua una simama na namba moja?,gari si itazima?Alafu narudi namba moja
Utarudi namba moja au mbili na ukaondokea hiyo kutegemeana na uzima wa gari... kama hukusimama au ulikiwa kwenye mwendo pungufu ya mwanzo, itarudi kwenye gia iliyo proportional na mwendo husika kuzuia engine breakingAlafu narudi namba moja