Clutch na breki tu kuu,unasimama vizuri tu.
Yes, unaweza, hats ikiwa namba sita.
Yeah,ukitaka kuondoka ndo unaanza na moja au mbili tenaAlafu narudi namba moja
Yeah,ukitaka kuondoka ndo unaanza na moja au mbili tena
Atakuwa ana maana nyingine huyo, muulize vizuriClutch na breki tu kuu,unasimama vizuri tu.
KablaJe nikiwa kwenye bamsi ni wakati gani nabadilisha gear kabla au baada yakuvuka bamsi
!!??so ananiendesha au??Atakuwa ana maana nyingine huyo, muulize vizuri
Atakuwa ana maana nyingine huyo, muulize vizuri
Maana yangu je hakuna madhara yeyote ya kutoka gia kubwa na kurudi moja kwa moja kwenye gia namba moja
Madhara yapo, piston inaweza kuchomokea mbavuni kama utaruka kutoka namba 5 hadi namba 1.
Kama mdau wa mwanzo alivyokwambia, kama kuna Emergency mbele, kanyaga Clutch kisha brake, hapo gari itasimama bila kuzimika vile vile Kama utakanyaga brake tupu bila clutch gari pia itasimama lakini engine itazimika hakutakuwa na madhara yoyote utapiga stata na kuendelea tena, nji hii ni kwa magari madogo.
Umeuliza kuhusu tuta. Inategeme na nguvu ya engine ya gari yako. Gari yangu mimi mfano niko namba 5 na nakaribia tuta, huwa natoka 5>4>3 napanda tuta na namba 3, kisha narudi 4>5 na kuendelea. Gari zingine zinapanda na namba 2 kama engine inaanza kuchoka.
Magari makubwa system yake ya kusimama kwenye emergence ni tofauti kidogo.
Naelekea kupata muafaka
Kilichokuwa kinanitatiza ni kwamba niko kwenye namba 5 then nikakanyaga clutch na brake nikasimama alafu nikaweka free nikarudi namba 1 je kuna madhara yeyote?
Na je nikitaka kupaki gari nikiwa kwenye gear 3 4 au 5 ni lazima nianze kupangua gear nakurudi namba 1?
Hapa ndo nahitaji maelezo aseeMagari makubwa system yake ya kusimama kwenye emergence ni tofauti kidogo.
Gari kubwa ukikanyaga brake na clutch haisimami hapo hapo. Labda iwe tupu. Wanashauri ukanyage brake ikiwa kwenye gia ili ile gia ikusaidie kama brake pia.Hapa ndo nahitaji maelezo asee
Ahsante mkuuGari kubwa ukikanyaga brake na clutch haisimami hapo hapo. Labda iwe tupu. Wanashauri ukanyage brake ikiwa kwenye gia ili ile gia ikusaidie kama brake pia.
Kifupi gari kubwa ni ya kwenda mwendo mdogo mdogo tu hususan mijini. Hainaga brake ya papo kwa papo labda iwe mpya, lakink hizi za kubeba cement ni shida.
maelezo hayapo sahihi apo... Kwanza brake kisha ndio clutchKama mdau wa mwanzo alivyokwambia, kama kuna Emergency mbele, kanyaga Clutch kisha brake